Oohoo ooh Oohoo ooh Oohoo ooh Watoto ndo taifa la kesho (tuwalinde eeh) Ndio viongozi wa kesho (tuwalinde eeh) Tuwatunzee eeh (tuwatunzee) Ndo taifa la kesho (tuwatunze eeeh) Dhamani yao ni leo Kama wakizingatiwa Kukingwa na upepo Kukingwa na upepo Watoto wapewe kipau mbele, ooh Elimu nafasi za masomo bila awamu Afya ya mama na mtoto Sawa na kiberiti kwa moto Wakingwe na unyanyasaji Kijinsia Wapate kinga za magonjwa kwa taifa la kesho Watoto ndio taifa la kesho (tuwalinde eeh) Ndio viongozi wa kesho (tuwalinde eeh) Tuwatunzee eeh (tuwatunzee) Ndo taifa la kesho (tuwatunze eeeh) Mbuyu ulianza kama mchicha Kwa kumwagiliwa mbolea na kusafishwa Wanahitaji uangalizi wa familia Wazazi, serikali pia Wakingwe na unyanyasaji Kijinsia Wapate kinga za magonjwa kwa taifa la kesho Watoto ndo taifa la kesho (tuwalinde eeh) Ndio viongozi wa kesho (tuwalinde eeh) Tuwatunzee eeh (tuwatunzee) Ndo taifa la kesho (tuwatunze eeeh) Asilimia 90% ni vizazi mtaani Vinaumia hususani watoto Jukumu letu kuwalinda kama gari linavyokwepa ajali Maana ni watoto Watoto ndo taifa la kesho (tuwalinde eeh) Ndio viongozi wa kesho (tuwalinde eeh) Tuwatunzee eeh (tuwatunzee) Ndo taifa la kesho (tuwatunze eeeh) Asilimia 90% ni vizazi mtaani Vinaumia hususani watoto Jukumu letu kuwalinda kama gari linavyokwepa ajali Maana ni watoto