Ye ye ye ye Ni shorti baba (Teddy B) Mungu akipanga mna pangua, siko peke yangu Kukichacha mnanichanua (heehe), siko peke yangu Iye iye! Iye iye eeh, siko peke yangu Iye iye! Iye iye eeh, siko peke yangu Ni baba iyo, baba iyo, ni wewe unijuae Eeh eeh na sihitaji jeshi, ni wewe unilindae Eeh baridi ikizidi, ni wewe uniufunikae Wewe ndio nuru gizani, inimulikae (iye iye) Kukikauka baba wee, sikosi maji (maji) Wakifunga baba wee, sikosi kazi (iye iye) Wakinishusha baba wee, wanipa kazi Wakifunga baba wee, sikosi kazi (iye iye) You're high, I am not alone Oya siko solo, yuko nami baba yo Mungu akipanga mna pangua, siko peke yangu Kukichacha mnanichanua (heehe), siko peke yangu Iye iye! Iye iye eeeh, siko peke yangu Iye iye! Iye iye eeeh, siko peke yangu Eeh mangapi umetatua Uko nami kila hatua Wanafunga milango nikose Ukuta unapasua eeh Umeweza, mbele yao unaandaa Unaweza, hata wengine wakikataa Maisha umechora, hawawezi kunipora Uko nami kwa moto baba yo Kwako sita ora Maisha umechora, hawawezi kunipora Uko nami kwa moto baba yo Kwako sita ora You're high, I am not alone Oya siko solo, yuko nami baba yo Mungu akipanga mna pangua, siko peke yangu Kukichacha mnanichanua (heehe), siko peke yangu Iye iye! Iye iye eeh, siko peke yangu Iye iye! Iye iye eeh, siko peke yangu Mungu akipanga mna pangua, siko peke yangu Kukichacha mnanichanua (heehe), siko peke yangu Iye iye! Iye iye eeh, siko peke yangu Iye iye! Iye iye eeh, siko peke yangu Siko peke yangu, (iye iye) You're high, I am not alone Oya siko solo, yuko nami baba yo Mungu akipanga mna pangua, siko peke yangu Kukichacha mnanichanua (heehe), siko peke yangu Iye iye! Iye iye eeh, siko peke yangu Iye iye ooh! Iye iye eeh, siko peke yangu