Ni Short Baba na Daddy Owen Chochote ninajua ni wewe Siwezi kudanganya Na niendapo aah, ni wewe Siwezi kudanganya Iwe kiatu kwa mguu, hee Ama ni nafuu, eeh eeh Nikipanda matatu, eeh Ama nikienda kama tu eeh eeh Milango unafungua singedhania, eeh eeh Unanichanua wakinivamia aah So sita, sita, mi sitadanganya eeh eeh So sita, sita, ni wewe umefanya eeh eeh So sita, sita, mi sitadanganya eeh eeh So sita, sita, ni wewe umefanya eeh Chochote ninajua ni wewe Siwezi kudanganya Popote nilipo aah, ni wewe Siwezi kudanganya Baba ni wee eeh Baba ni we eeh, sitadangaya Baba ni wee eeh Baba ni we eeh, sitadangaya Baba ni wee eeh Baba ni we eeh, sitadangaya Baba ni wee eeh Baba ni we eeh, sitadangaya Naweza dai ni masomo Lakini ni wangapi wamesoma wamechizi Naweza dai ni ujanja Lakini utacheka utasema am kidding Wala si nguvu na bidii Si nguvu na bidii Ni nguvu zako daddy Nguvu zako daddy Ni ju milango unafungua, singejua Ni wewe natambua si kifua So sita, sita, mi sitadanganya eeh eeh So sita, sita, ni wewe umefanya eeh eeh So sita, sita, mi sitadanganya eeh eeh So sita, sita, ni wewe umefanya Chochote ninajua ni wewe Siwezi kudanganya Popote nilipo aah, ni wewe Siwezi kudanganya Baba ni wee eeh Baba ni we eeh, sitadangaya Baba ni wee eeh Baba ni we eeh, sitadangaya Baba ni wee eeh Baba ni we eeh, sitadangaya Baba ni wee eeh Baba ni we eeh, sitadangaya Chochote ninajua ni wewe Siwezi kudanganya Popote nilipo aah, ni wewe Siwezi kadanganya Baba ni wee eeh Baba ni we eeh, sitadangaya Baba ni wee eeh Baba ni we eeh, sitadangaya Baba ni wee eeh Baba ni we eeh, sitadangaya Baba ni wee eeh Baba ni we eeh, sitadangaya Nikiota kwa mtaa Nikiota kwa mtaa (ukiotaga) Nikiota kwa mtaa Ni wewe ulinionaga (ulinionaga) Nikiota kwa mtaa Nikiota kwa mtaa (ukiotaga) Nikiota kwa mtaa Ni wewe ulinionaga (ulinionaga) (Amekuona na pia anakupenda) Moji ShortBabaa, Daddy Owen