Bin Laden Wanene! Myenye macho haambiwi tazama askari We kipusa nipitie mbali Ya musa mpe musa hayamuhusu kaisari Kila mchezo kwangu fainali Magumu huyapitie peke yako Hakuna ambaye hajatoka mbali So usiniletee pressure na kweli Mipango bila pesa ni kelele Mwana sesere ongeza kunitukana Maana unamuhukumu kifo mtu aliyetaka kujiua ikashindikana Nishasema mama binadamu wabaya Haisia anaweza ziba mdomo na akajifanya hasikii Ndolo vile tunaishi nao Mikunjo ndo nembo yao Na lengo kupiga bao Anhaa vizuri havitaki pupa vinataka simpoo So leo kesho kuanguka mi bado nipo Napata ninachotafuta nakosaje diko Nimwendo wa kuvunja fupa maana meno iko oo Wacha maneno goroka Usifanye wanijua ebu acha kuropoka, heey Eti kabla sijatoka Unasema unanijua hapo ndipo napochoka So me na say heya, heya, heya Ngoma yaja heya, heya, heya Wasiojua duniani njia mbele kuja na kusepa Ndo maana n'kilia dakika mbili tu nacheka Najizimia ndio maana namelemeta Japo bia ndo zinanimalizia sana paper Ila Mungu ndo aliyeniweka na ndio atayenitoa Kwa hiyo sitaki ma pressure kunitia doa Nachotaka pesa tu nikae poa Nadhani nimesommeka and no more Najua na shida zangu na kila mtu Ana zake Kwa iyo simwelezi mambo yangu Mtu aloshindwa na mambo yake Hatua zangu zinafanya nipate Kwa hiyo mambo yangu yote Vizuri havitaki pupa vinataka simbo So leo kesho kuanguka kesho bado nipo Napata nacho tafuta nakosaje diko Ni mwendo wa kuvunja fupa maana meno iko Wacha maneno goroka Usifanye wanijua ebu acha kuropoka, heey Eti kabla sijatoka Unasema unanijua hapo ndipo napochoka So me na say heya, heya, heya Ngoma yaja heya, heya, heya Vizuri havitaki pupa vinataka simbo So leo kesho kuanguka kesho bado nipo Napata nacho tafuta nakosaje diko Ni mwendo wa kuvunja fupa maana