Touch! Haa kumekucha masela hebu chembezeni stick Manaake mziki hauna hela ila ila hela kuiopata mziki Sikufichi ambao hawapendi wanakoma Hasa ndo naua band maana natoboa kila ngoma Wananisoma ngoma bomba kwa touch Waloniambia nile kone nkaambia wale penalty Toka jiji la samaki mama alipo nipa siri Kuwa biashara faster hakuna mwanaharakati tajiri Pili watu waajabu sana Ila me na adhabu sana, mabeste Hapo nilikusoma mwana Wasanii wanaloga sana, ndo maana mipete (wote chechee) Wote tunampenda Mungu, maana mpaji hapingiki Sa vipi anakupa hi huku akisema Mungu akubariki Siwezi kushiriki kwenye dhambi yako Ili ukatwe mikono kisha ule kwa macho Nisipo vuja jasho alokuwa nyuma yangu atakula wapi Hapo ndo naamini kuwa wenye huruma hanaga bahati Huu ndo uwezo binafsi vijana m-relaxy Nakuomba usimtusi baba kama ujui utakula wapi Na hadithi za sungura me sitaki ehe! Niletee hadithi za watoto wenye chura wa masaki Naukisikia nauza sura juu ya laki Maana uhai ni faida ikiwa hasara ni nafsi Usichoke we kunja Kunja ukunjavyo me ntatusua Hizi juhudi sio ndomba Akisha panga apangavyo uwezi pangua Asa temeke na ilala (Ah! Ah! Unaionaje) he ah! (I say unaionaje) Hadi manzese, mabagala (Ah! Ah! Unaionaje) he ah! (I say unaionaje) Haa! Chuki huletwa na wivu na kushushiana hadhi Na rafiki ndo atakae kuharibia kazi Atakupindishia michongo na kukuvunjia nazi Bongo ukifanikiwa unachukiwa wazi wazi Ila sisi kazi kazi wengine tumetoka kwenye msoto Kuoga mpaka tushikwe viboko Naona umeandaa mkaa arufu hauna kiberiti we mtoto Chokoza wana wakuwashie moto Hebu nipite kushoto maana unanichukia Hata unisaidii unanitukana hata sifatilii sizimi chuku Maana mwisho kuroga wisho unakuwa Mchawi kwa maana utamu kunoga Unaogopa nini toba we binti acha uoga Mbona unakula beer arufu nguvu niza soda Sura hashiki poda unasifiwa na mawaki Kisha unaota mabembe utazani umekula nyati binafsi Hadithi za sungura me sitaki ehe! Niletee hadithi za watoto wenye chura wa masaki Naukisikia nauza sura juu ya laki Maana uhai ni faida ikiwa hasara ni nafsi Usichoke we kunja Kunja ukunjavyo me ntatusua Hizi juhudi sio ndomba Akisha panga apangavyo uwezi pangua Asa temeke na ilala (Ah! Ah! Unaionaje) he ah! (I say unaionaje) Hadi manzese, mabagala (Ah! Ah! Unaionaje) he ah! (I say unaionaje)