We ni dume suruali kaa mbali nami, mbali nami Kama dume suruali kaa mbali nami, uendani nami Hudat hudat hii ni salam na ufahamu Kama unauza mapenzi siyo kwa binamu Huna haja ya kusubiri hii ni hukumu Hakuna kitu utapata utangoja kama askari wa zamu Dume suruali, dume kaptula Shauri zako ilimradi sipati hasara Usione utani me sihongi hata kwa ishara Utaniambia nini mpaka unigeuze fala Kwanza nasikia hongo zinaleta mkosi Sentano yangu hugusi hata ukiongea kidosi Yabaki mapenzi tusileteane ujambazi Hata upige sarakasi utachonga viazi (Bahili kama nini!) Ndiyo mnavyosema Na ukiniomba kesho hunisikii tena Kwani unauza nini dada, hunitakii mema We ni dume suruali kaa mbali nami, mbali nami Kama dume suruali kaa mbali nami, uendani nami I want that Gucci, Fendi, spend it on a girl like me My name is Vee Money, money, spend it on a girl like me Nihonge nanunua nini kwa nini yaani! Kuna kipi nisichokijua ina TV ndani? Usiulize n’takupa nini dada piga moyo konde Viuno vingi kama mwali wa kimakonde Usipende hela kama mfuko Au fanya unavyofanya upate zako Vishawishi vingi binti sema na moyo wako Na ujifunze pesa zinauza utu wako Tajiri mtata kama Salah Zipo ila sitoi sobe hili me ni balaa Unapenda hela zangu nami nazipenda pia Kila mtu abaki na zake bye baby, tutaongea (Mwanaume wa hivyo wa nini sasa!) Ndiyo mnavyosema Na ukiniomba kesho hunisikii tena Kwani unauza nini dada, hunitakii mema We ni dume suruali kaa mbali nami, mbali nami Kama dume suruali kaa mbali nami, uendani nami I want that Gucci, Fendi, spend it on a girl like me My name is Vee Money, money, spend it on a girl like me Aje aje ajee me mtoto fulani ghali Nihonge gari, ma sweet sweet baby Wanna see you today, unipeleke party Aje aje ajeee njoo nikupe TBT Siyo kwa enzi ya Magufuli Zali ilikuwa long siku hizi hakuna la mentali Nikikuhonga na ukiniacha nitakujia usingizini Naepusha shari matatizo yote ya nini Hakuna kipya chini ya jua Hata nisiyoyafanya nishayasikia Ningekuwa mhongaji ningeshafulia wangu Mademu wangu wa zamani wote wangekuwa maadui zangu (Mwanaume hovyo wewe!) Ndiyo mnavyosema Na ukiniomba kesho hunisikii tena Kwani unauza nini dada, hunitakii mema (Baki na hamu zako!) We ni dume suruali kaa mbali nami, mbali nami Kama dume suruali kaa mbali nami, uendani nami I want that Gucci, Fendi, spend it on a girl like me My name is Vee Money, money, spend it on a girl like me Baba bure huyu! Hata pantoni lina staff Unamwambia nani sasa! Unamwaaambia nani sasa!