Aah, aah, aah, beiby Aah, aah, aah, lola Aah, aah, aah (aah) Aah, aah, aah Motif did on Nashangaa na hizi pesa Nilijikuta tu kivyangu Ati mwanzoni ulinipenda Akabisha shetani huku kwetu Lakini mbona hukuniambia? Jasiri, nijulie mitandaoni Ukweli ukaukimbia Ati mhusika ndo shetani Ama ni kiki unatafutia? Ndo maombi yangu moyoni Ama ni showbiz na hujaniambia? Nisijitese akilini Ona tulianza bila mapeni Na leo tuna magari Nimekosa nini jameni? Si ulitaka aliye maarufu Uwape stori magazeti Matusi pande mbili Kipenzi cha watu jamani Walitupenda sote wawili, ila Lola, yamemwagika hayazoleki Lola (lola) Lola, yamemwagika hayazoleki Lola, yamemwagika bas Lola, sasa umeniacha na nani? Lola, rudi kwangu mimi Lola, sasa umeniacha na nani mama yoh? Lola, rudi kwangu mimi Mimi nimeunguka Sina hata haja kukutazama kwenye sura Nilo yafichaa Mwangu moyoni, yote unayajua Naona aibu Mpaka kwa marafiki zangu Imekuwa chungu Kwa tamaa zangu Nadia ulinipendaga Na mapenzi yalinoga Me ndio nilikumwaga Nakuomba msamaha wangu mama Basi usiniadhibu Kwa kosa tayari nimekubali Acha kunihusudu Kila mahali ni mimi mitandaoni Kugombana sio suluhisho mama Aah, aah Tusizidi kuvunja mwiko mama Wa mapenzi yetu mi na we Lola, sasa unaniacha na nani? Lola, rudi kwangu mimi Lola, sasa unaniacha na nani mama yoh? Lola, rudi kwangu mimi (mama yoh) Lola, yamemwagika hayazoleki Lola (lola) Lola, yamemwagika hayazoleki Lola, yamemwagika baba Umefanya pombe kuwa pacha wangu Kichwa ni mawazo Kichwani mwangu ooh Na si unajua, nakupenda wewe iyee Hayazoleki (hayazoleki) Wowowowowowowo Nadia, Nadia wewe Nakupenda ooh