'Cause leo ni kutesa (Nadiaa) Nadia Form ni kutesa (Fena nananana) 'Cause leo ni kutesaa Yeah, yeah Form ni kutesa (Vicky pon dis) Issa Friday night Ita wenzako waambie Kuna party tonight No time sasa wakimbie Chelewa chelewa mwana si wako Na uchunge usije hepa na wako Huo mchele usijetiliwa kwako Baby Ikibamba sana Piga kelele wewe (eeh eeh) Na kama ni noma sana Piga kelele wewe (eeh eeh) Boomerang dance on the dance floor Fine girls dance on the dance floor Hennessy pour on the dance floor 'Cause leo ni kutesa (tesa) Form ni kutesa 'Cause leo ni kutesa (tesa) Form ni kutesa Yeyeh, yeah, yeah Baada ya kazi nimeingiza doh, sina pressure Kwenye burudani nilipiga show, nilitesa Big up dem fine gal in a pretty likkle skirt Young man, in an African shirt Wave your hand and do the odi dance and Shake your bum like you know what you are worth Uuh, all of the drinks on me Mifuko imejaa leo, imejaa pesa And if you look at me Looku looku vile natesa Uuh naikibamba sana wapi nduru wewee (eeh eeh) Na kama ni noma sana piga kelele 'Cause leo ni kutesa (tesa) Form ni kutesa 'Cause leo ni kutesa (tesa) Form ni kutesa Ya, nikona form, usiku to dawn Mbogi iko zone, imewasha kindom Keti mbaya tukucon, tukuteke kwa chuom Fena na Papa Jones, Nadia hapa ndo Don Though simpati kwa phone, naskia ako Salon Juu leo mi ndo the bomb, Club pia imechrome Mbogi mpaka ya Ngong, imebambika na songs Zile si huperform, rende pia ni wrong Niko juu ya nyama ya Bama na kachumbari Na juu ya diabetes chai hatuweki Sukari Plans saa hizi zimetufikisha huko kariorkor Walevi washaanza kulewa wamekalia floor Huh, anaskia form ni kutesa Tusimalize ganji ndo mtaa turudi kalesa Waka nesa mavodo bila chaser Hakuna kulala tunakesha tukitesa 'Cause leo ni kutesa (tesa) Form ni kutesa 'Cause leo ni kutesa (tesa) Form ni kutesa