Nadia Maua Sama (Teddy B) Unaipenda wapi sakafu ama juu kwa juu Nikupe wapi mvunguni ama mtapanda juu Walahi leo mpaka kilele (mpaka kilele) Nitampa nani kama si yeye (kama si yeye?) Nimekuwa na mgonjwa Njoo kwangu nikupe dawa Mganga toka Sumbawanga Natibu mapenzi ndo mimi hapa Jamani nimzungushie (nimzungushie) Nataka nimzungushie (nimzungushie) Jamani nimzungushie (nimzungushie) Nataka nimzungushie (nimzungushie) Yaani mautamu Yangu vinono anajinoma kwa mahaba Mwalimu nampaga somo ndani Mambo si haba Amenipitisha, kanitikisa Akinipa mwiba si nahama Akinitouch na najimaliza Kanifunga sitoki kwa mahaba Kwa ubani nimzungushie Yaani hata nazi mi nimvunjie Nataka nimzungushie Bigati the gati de nimzungushie Jamani nimzungushie (nimzungushie) Nataka nimzungushie (nimzungushie) Jamani nimzungushie (nimzungushie) Nataka nimzungushie (nimzungushie) Changanya kama karanga Huyu ashafanikiwa Ananifuata kama kuku Kifaranga nimechanganyikiwa Yaani kama unipeleke nyumbani Unipe mapenzi sham sham Mauno bila mifupa Chumbani nikimnegua hadi tam tam yeah Jamani nimzungushie (nimzungushie) Nataka nimzungushie (nimzungushie) Jamani nimzungushie (nimzungushie) Nataka nimzungushie (nimzungushie)