Yao Yao Jeshi Ooi boy boy Konde Boy! Maembe suru chuku chuku ni sasamole Mi naning’inia kwa marati nipopoe (on the beat) Kiduchu nipe tena baba niue Mi nakuzimia usizingue unisumbue wewe Mapenzi yetu ni ya mimi na wewe tu Usiskize watu wananyongwa mbaya Basi nifanyie kitu na boxy (lazizi wee) Usiku nipe shoti (lazizi wee) Ama ishike magoti (lazizi wee) Nilemshe mkomboti (lazizi wee) Ooh mi mwenzako imeshanikolea My baby boy ooh ah Ukienda zako mi nitanyong’onyea Ooh mi mwenzako imeshanikolea My baby boy oh ah Ukienda zako mi nitanyong'onyea Acha lizame! Baby unapenda vya giza giza kama ujanizoea Acha jua lizame! Maana raha ya kuingiza ujue inapotokea Acha lizame! Unapenda vya giza giza kama hujanizoea Acha jua lizame Mama unafanya tembo Kutwa nadindisha mkonga We ndo kiboko ya warembo Wale wanaojipitisha vitonga Penye dhiki na shuruba Mikeko ndo ulinikumbata Piki piki upande Uber Popote nilipo ukanifwata Mimi bado wananiita mzugaji (nilingojea) Sikidhi hata yako mahitaji (nilingojea) Sina biashara mtaji (nilingojea) Ulisema Mola ndo mpaji (nilingojea) Ooh maana nipande tumwage mbolea Baby oh uh oh ah Ukitaka tena tutaendelea oh, oh ooh Shamba mwaga maji nimwage mbolea My baby oh uh oh ah Ukitaka tena tutaendelea Acha lizame! Baby unapenda vya giza giza kama ujanizoea Acha jua lizame! Maana raha ya kuingiza ujue inapotokea Acha lizame! Unapenda vya giza giza kama hujanizoea Acha jua lizame Whine nikuuliza Bora ningejitengea oh nah nah Oii boy boy, ooii boy boy yeah, yeah yeah, yeah Oii boy boy The African Princess Baby unapenda vya giza giza kama ujanizoea Maana raha ya kuingiza ujue inapotokea Unapenda vya giza giza kama hujanizoea Asa whine nimecool na bora ningejitengea Konde Boy!