Ulienipa maumivu mi kama nyang'au Na tena maumivu dawa ninywe vidongee Kwa marafiki mashost ukanidharau, hmm Ukanitia uvivu stress niwe mnyonge Oh oho ulie nipa maumivu mi kama nyang'au Na tena maumivu dawa ninywe vidonge, hmm Kwa marafiki mashosti ukanidharau Ukanitia uvivu stress niwe mnyonge Leo sina thamani ndo mana Unawafata milupo ooh baba Leo sina thamani eeh ndo mana ah Unawafata milupo oh baba We niache ee Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache niende salama) Nitapona mdogo mdogo nitapona (we niache ee) Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache niende salama) Nitapona mdogo mdogo nitapona (aah ooh) Mara ugomvi unakurupua unanitukana mimi Hata zawadi nikikuletea hausemi asante Tena nashare hata bila kujua we hulidhiki kwa nini Kuna wakati nilijisumbua mwenzangu usiwaze Kwangu moyo we unauchanganya ah Umekuwa kivuruge unavuruga sana baba wee Kitu gani kwako mi sijafanya, eeh eeh Ama kuna mtu mnapendana sana Leo sina thamani ndo mana Unawafata ma-sister-du oh baba Leo sina thamani eeh ndo mana Unawafata ma-sister-du oh baba We niache ee Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache) Nitapona mdogo mdogo nitapona (nitapona kidogokidogo) Nitapona mdogo mdogo nitapona (nitapona mi) Nitapona mdogo mdogo nitapona Aiyoyoiyoooh