Emma the boy on the beat Aai ni wewe ubavu wangu mwenyewe Ukifa nizikwe na wewe Nikifa uzikwe na mie Oh, baby wee Ninogeshe, ninogeshee baby Baby ninogeshe Ninogeshe, ninogeshee baby Baby ninogeshe Aah kwachukwachu kushea na watu sitaaki Ooh baby Boda boda yangu vipi nipande mishikaki Siwezi! Basi ninogeshe, ninogeshee baby Baby ninogeshe Ninogeshe, ninogeshee baby Baby ninogeshe Raha, raha tupu Kupendana na wewe, raha tu Raha, raha tupu Kupendana na wewe, raha tupu Unanipaga furaha hivi Ukiniacha utanipa jaka la roho Nipe mimi kwingine we useme no Shinde ibilisi kwenye kichwa chako ooohoo Mi mwenzako mkiwa baba Mkiwa wa wapenzi baba Usinione nalia sana Nalilia mapenzi Chochote utachoniambia (sawa) Mimi nitaridhia baba Hata ukiwa mbali nitasubiria Ah basi ninogeshe, ninogeshee baby Baby ninogeshe Ninogeshe, ninogeshee baby Baby ninogeshe Raha, raha tupu Kupendana na wewe, raha tu Raha, raha tupu Kupendana na wewe, raha tupu Tusiwe tysoni naivanda kisa kosa (Kupendana na wewe) Presha kupanda kushuka kisa nini? (Kupendana na wewe) Mi mwenzako nakupenda nafurahi (Kupendana na wewe) Nivike pete ya roho isiyotoka, mmmh! Raha, raha tupu Kupendana na wewe, raha tupu Raha, raha tupu Kupendana na wewe, raha tupu