Asubuhi imetimu, kumepambazuka Kumekucha salama Shida zinatula zimu haraka kuinuka Kutafuta vya ngama Namuona mama ameshika tama Namuona baba amekata tamaa Jirani yangu anaumwa sana Kila kukicha afadhali ya jana Usilie baba, usilie mama Ah usilie dada futa machozi Usilie kaka, usilie rafiki Ah usilie ndugu futa machozi Yametawala mawazo Na kila mara vikwazo Ila changamoto ni funzo Usikate tamaa Taabu zinaturudia ila Nguzo ni kuvumilia pia Ushindi unakaribia tia Dunia wee ee Namuona dada ameshika tama Namuona kaka amekata tamaa Rafiki zangu wanashida sana Kila kukicha afadhali ya jana Usilie baba, usilie mama Ah usilie dada futa machozi Usilie kaka, usilie rafiki Ah usilie ndugu futa machozi Usilie, ooh aah Na usikate tamaa Tururutu Muda unakuja, na muda unafika Usilie, don't don't cry You don't cry, you don't cry Inuka tena (Free Nation)