Umezoeshwa vibaya ndo hujiwezi Unaskiza jamaa mbaya bana very true Nawashika bila kuwa valia navy blue Malaika inani show umeweka mapenzi juu Rumours za mascandal za ulover na lady drama Na ati statoe mahali ukona baby mama Kwa mitandao kila siku ni story new Bundles zako zikiisha utapitwa uspo renew Kaa pedi niko chini ya waba, leo dredi zinafungwa juu Naishi mahali juu kaa anga so daily na enjoy the view Ukitaka kuona roho chafu Shika doe kidogo uone vile utaboo watu For 10 years hamkuwa mnajali mahali ninalala Hii screw driver yangu ni shimo gani ina screw Mtu mahali ameamua hatalala salama Kabla ahakikishe ameambia watu nyash anajiduu Staki kuona watu wakiku celeb rate Role model na watoi wanaku imitate Haumangi pekee yako tuna split hii plate Au tuku trendishe vile tulifanya jimmy gait Hii industry uko sure unataka fame? Pengine ndio maana siblend in ju Unaeza tell kuna vile mi na hao hatuko same Mi si ng'ombe yako ya gredi du! Umezoeshwa vibaya ndo hujiwezi Unaskiza jamaa mbaya bana very true Nawashika bila kuwa valia navy blue Malaika inani show umeweka mapenzi juu KEBS! Standard ya quality sisi hapa KEBS! Hii ndio standard ya quality hii xxxx KEBS! Ha ha ha ha ha ha KEBS! Nawaskia mkiongea naamua kukaa kimya Naona far kaa twiga au kaa mjinga Ama bouncer au napima, wazimu nawazima Kwa simu nna ya sima ya mchuzi ndio sina You can't believe all this bullshit you're reading You can't be really considering singing Big fat cheque for Nyashinski though Ata ka Mungu pekee haikuwa na video Ana ngoma tatu pekee tumwitie nini show Naskia kwenda mainterview anaitisha milioni You can't believe all this bullshit you're reading You can't be, you can't be, you can't be serious You can be anything you wanna be A drug addict, you drug addict Nyuma runda bado tu ni fantasy List ni watu wawili, mi na king wa South C Nikipenya mnapenya but your eyes can't see Uko busy tu kwa group tu hating on me Eti oh he has a big E-G-O He refused to follow me on IG, am not voting God bless you even before you sneeze It's a free country, you can do as you please Nikiamka Sunday nijipate on my knees Ntakuwa nasema asante sio please Umezoeshwa vibaya ndo hujiwezi Unaskiza jamaa mbaya bana very true Nawashika bila kuwa valia navy blue Malaika inani show umeweka mapenzi juu Ndo yule wanayemsema yule Jina lake wanamwita ego huyo Kubali mziki umeenda shule Na mashow si pia ndio hizo Mziki nakupenda milele cha kututenganisha kifoo yea