Sijui kaa nitaona kesho Kaa ningali na uwezo wa kuifanya n'taifanya hadi mwisho Mwambieni huyo devil Simwogopi shetani, Sir God yuko nami hadi kifo Kaa nitaona kesho Nipe nguvu na uwezo wa kijana na akili za mzee Daima niwe, imara wasiniangushe Naona saa, kila siku nizawadi toka Maulana So haja gani ushike tama Mama Majaribu huisha oh yah eee! Na hata kaa Maadui zangu watashikana na zao njama Siwaogopi nasima ma ma Ya kiama yao ya ja eeeh Hiyo ndio pace nasonga nayo Wanashangaa hakuna stress nakuwanga nayo Naishi sawa sina kesi mahakamani Au madeni za majirani Niko freshi nje na ndani, oh ya eee! Namwogopa Mungu Pekee Mwanadamu 'kija kun'tafash naomba Mungu un'tetee Maneno yao yasiniumize n'fanye sugu wewe Wakitry kun'tisha naomba nisitetemeke I know you love me, know you love me So I don’t fear nobody but You I know you love me, know you love me Nisitetemeke Uh, siamini jo juu vile naishi life Ni ngumu kuamini hii si ndoto Sijui kesho vile itakaa Kwa hivyo leo nitaifanya ka kidogo hua hairidhishi roho Yaani sana, tena sana Hata wale wanan'chukia wananiheshimu bruh mi si kidogo Uh, sibabaiki nikiskia mkiongea nazidi kuwapa mi kisogo Na kama saa sismami Staki life iniache mataani mtaani Mwenyezi nichungie familia yangu na pia Za wale wote sauti yangu wanaiskia Tupe afya nzuri, na maisha matamu Barabara zetu zinyooke waone mfalme ni wewe Wakupewa shangwe ni wewe Wa kupewa shagwe ni wewe, hee! Namwogopa Mungu Pekee Mwanadamu 'kija kun'tafash naomba Mungu un'tetee Maneno yao yasiniumize n'fanye sugu wewe Wakitry kun'tisha naomba nisitetemeke I know you love me, know you love me So I don’t fear nobody but You I know you love me, know you love me Nisitetemeke I pray we, me and my people we never die Say we live forever and forever we multiply And wherever we go Ni nini wanaweza nishow hata kaa sina kitu Uko na mimi kila siku Kila siku Wewe Pekee Namwogopa Mungu Pekee Mwanadamu 'kija kun'tafash naomba Mungu un'tetee Maneno yao yasiniumize n'fanye sugu wewe Wakitry kun'tisha naomba nisitetemeke I know you love me, know you love me So I don’t fear nobody but You I know you love me, know you love me Nisitetemeke