Ooh nanananana, ooh yeah Sultan 001 Nah nah nah nah, ooh Nimeacha pengo, bila ni wako upendo Umenipa nuru, umenitoa gizani Sina maelezo, nimeishiwa uwezo Na mwomba aliye juu, anitoe kitandani Nikawazaje? Ingekuwajeee? Maisha yangu na familia ningeondoka Nikawazaje? Ingekuwaje yeah yeah Shabiki zangu na ndoto zangu zingezimika Ooh yeah, baba niwe Ooh baba yangu, baba niwe Ooh mungu wangu, baba niwe Ooh mola baba eeeh, baba niwe Ooh naona miujiza Siamini moyo ndo najiuliza, ni mimi? Walelo waliza Kwa dua zao wakasimama na mimi Nikawazaje? Ingekuwajeee? Maisha yangu na familia ningeondoka Nikawazaje? Ingekuwaje yeah yeah Shabiki zangu na ndoto zangu zingezimika Ooh yeah, baba niwe Ooh baba yangu, baba niwe Ooh mungu wangu, baba niwe Ooh mola baba eeeh, baba niwe Hakuna kama wewe mola baba Hakuna kama wewe mola baba Alpha na Omega ye yeah Alpha na Omega ye yeah yeah Nah nah nah nah nah Baba niwe, baba wewe ye ye yeah Baba niwe, mola baba baba yeah Baba niwe, baba wewe ye ye yeah Baba niwe, mola baba baba yeah Mola wewe yeah yeah Baba yeah yeah