Wale waomba Bwana Wana heshima wale wambao Ndiyo Yesu Mwema! Wana uzima wale waombao Wana ushindi wale walalamikao Wanafurahi walio na Yesu Mwema! Wana baraka wale wasemao Yesu ni Mwokozi wetu Wana uzima wale wasemao Yesu ndiye mwombezi Wanafurahi walio na Yesu Wanashinda shida zote kwa Yesu Halleluya! Halleluya! Tuna Yesu Mwema! Wana uzima wa milele nao Wanapendwa nao Baba yetu Waaminifu watavikwa taji la utukufu Watatembea katika nuru ya uso wake Halleluya! Halleluya! Tuna Yesu Mwema! Uje kwetu roho mtakatifu Ututakase mioyo yetu Utupe nguvuzo za kuushinda ulimwengu Na tuweze kufika mbinguni pamoja nawe Mapokeo