N’tam tazamaje N’tam tazamaje N’tam tazamaje Hayaishi ooh Mawazo hayaniishia Hayaishi ooh Hayaishi ooh Siishiwi kukufikiria Hayaishi ooh We si uliniambia Ulipotoka nyuma uliumizwa Ukateswa ukaumia Mapenzi, ukachukia Tena ukaniambia Umeshachoka kutwa kulizwa Ulikosea njia Ulidhani mwanga kumbe giza Ulinidanganya Mi wa kufa kuzikana Name nikazama Kukupenda Baba Ye si ndo alofanya Ukalia sana Moyo ukaugawanya Mbona mmerudiana Me siamini tena mapenzi Wamerudiana, wamerudiana Ndo yule alomuumizaga Wamerudiana Alouponda moyo wake Wamerudiana Kumbe n’lipoteza muda Kumpigia guitar mbuzi Sikuju ungekuwa yuda Ningepata maudhi Mengi uliniambia Haumpendi unamchukia Nyongo imetumbukia Hautaki hata kumsikia Mnyonge nikakuhurumia Chozi n’kakufuta pia Yote yamesahaulika Leo umemrudia Yeallah bi huruma yangu Ndio hiyoniponza Niliompa moyo wangu Kanipa kidonda Ulinidanganya Mi wa kufa kuzikana Name nikazama Kakupenda Baba Ye si ndo alofanya Ukalia sana Moyo ukaugawanya Mbona mmerudiana Siamini tena mapenzi Wamerudiana, wamerudiana Ndo yule alomuumizaga Wamerudiana Alouponda moyo wake Wamerudiana N’tamtazamaje N’tamtazamaje