Neym Leo zamu yangu nimekamata kibunda Ukinikuta chaka lolote, usiniite we vunga Nataka nilewe mpaka hamu iniishe Hata kula siwezi, nataka nilishwe Nisuuze roho yangu, nijiburudishe Sio mikojo tu ikinibidi niharishe Sitaki company (company) Kwenye pesa zangu usilete utani (utani) Waiter leta mezani (mezani) Nimishalewa ndo nipate kihani (kihani) Raha ya kulewa uyumbe kidogo Yumba, yumba eh Yumba, ikibidi anzisha na zogo Yumba, yumba eh Raha ya kulewa uyumbe kidogo Yumba, yumba eh Ukinyimwa unyumba hamia nyumba ndogo Yumba, yumba eh Natamani leo ingekua siku ya walevi duniani Ningenunua mipombe, nigawe mpaka kwa majirani Oya walevi wote, leo birthday yetu tu-enjoy (Walevi wote, leo birthday yetu tu-enjoy) Oya walevi wote, leo birthday yetu tu-enjoy (Walevi wote, leo birthday yetu tu-enjoy) Hasa twende kilevi levi (levi) Tembea kilevi levi (kilevi) Hasa twende kilevi levi (levi) Cheza kilevi levi (kilevi) Sitaki company (company) Kwenye pesa zangu usilete utani (utani) Waiter leta mezani (mezani) Nimishalewa ndo nipate kihani (kihani) Raha ya kulewa uyumbe kidogo Yumba, yumba eh Yumba, ikibidi anzisha na zogo Yumba, yumba eh Raha ya kulewa uyumbe kidogo Yumba, yumba eh Ukinyimwa unyumba hamia nyumba ndogo Yumba, yumba eh Lugha gongana How are you Hawa hayupo nimemuacha east zu Lugha gongana Lugha gongana I miss you Ok, thank you, thank you