Eyoo Laizer Wasafi Records Unaringa kitu gani, we mwenyewe ujisute Afadhali hata nyani, sio we mwanamke! Hupendezi asilani, sio unyoe, usuke Nilifata kitu gani? Umefanya nijute! Mi nakuona punguwani, na usikurupuke Kwanza naongea na nani? Naomba nikumbushe Mi nawe hatuendani, jipandishe jishushe! Usinipande kichwani, namba yangu ifute Hizo dharau, mwana mvyoro papu Naona unasahau nyuzi zako nilikapu Nimepanda dau, mkataba nimekata Tena nyang'au, ndo ukome kunifata Unaringa una nini? Kijuso! Vijimeno kama jini, Gaucho! Kwani nawe una nini? Kituko! Usio na kazi mjini, popo! Punguza kelele Acha kelele mama Punguza kelele baba Acha kelele bwana Eti nawe unavimba, perfume tu mtihani! Kwanza shirt ulovaa umeazima kwa nanii Wanifata kapuku, utanipa nini? Nilikuacha, leo kimekuwasha nini? Funga bakuli mbele yangu we mshamba Nakujua vizuri toka unavaa mabwanga Kati unanuka moshi, huna hata ishu! Kwenye pochi wanja na tishu Unapenda ganda la ndizi, kuteleza Wakati kupambana mpaka mchuzi wa pweza! Dume zima tantara tantara Instagram ina hue Wakati kwenu kula, kulala, huchangii hata kitunguu Hizo dharau, mwana mvyoro papu Naona unasahau nyuzi zako nilikapu Nimepanda dau, mkataba nimekata Tena nyang'au, ndo ukome kunifata Unaringa una nini? Kijuso! Vijimeno kama jini, Gaucho! Kwani nawe una nini? Kituko! Usio na kazi mjini, popo! Punguza kelele Acha kelele mama Punguza kelele baba Acha kelele bwana