Mwaga maji tucheze kama kambale Leo ni Vanny Boy Yupo na mtoto wa Tandale Ai (Its S2kizzy Beiby) (Wasafi) Amaboko, eeh amaboko Amagundu, eeh amagundu Amaboko, eeh amaboko Amagundu, eeh amagundu Totori toto, to Totori toto, to Totori toto, to Totori toto, to Watoto wa bibi Wanacheza kote mpaka kwenye matope Wanavua wiggy Kama wamegombana na Ebitoke Fanya kama unadukua, Twende sasa Unanengua, Twende sasa Unapika napakua, Twende sasa Chukua, Twende sasa Nasema popo popo, tunakesha popo Leta chupa kwa chupa na moshi tulewe, tunakesha popo Nasema popo popo, tunakesha popo Shika pesa tusepe silali mwenyewe, tunakesha popo Anasasambua, kalewa Anakibinua, kalewa lewa Anajichetua, kalewa Aiyayayaya, kalewa lewa Amaboko, eeh amaboko Amagundu, eeh amagundu Amaboko, eeh amaboko Amagundu, eeh amagundu (aah basi) Totori toto, to Totori toto, to Totori toto, to Totori toto, to Asa baby show Show onyesha alichokupa mama Baby ko Komesha usijali lawama Anaspeedi pidi, Di Mwendo 4G G G, G Katoto gwiji gwiji, Ji Kwenye kujigi jigi, Ji Eeh venye nyomi, kijiji Manyoni tigigi Twende mpaka morning ikibidi Nizame shimoni, kimbiji Eeh katoto kana papara (para) Kupigwa nyembe kipara (para) Namvutaga masigara Raa-rara Nasema popo popo, tunakesha popo Tembe za chaukucha na Mondi tulewe, tunakesha popo Wanangu popo popo, tunakesha popo Kama akigoma vuta usilale mwenyewe, tunakesha popo Aiyeye, kimempanda Ooh kidaruso, kimempanda Kaisha leo, kimempanda Nasomba kama fuso, kimempanda (Humo humo) Amaboko, eeh amaboko Amagundu, eeh amagundu Amaboko, eeh amaboko Amagundu, eeh amagundu (aah basi) Totori toto, to Totori toto, to Totori toto, to Totori toto, to (Kwa Mix Lizer) Mwaga maji tucheze kama kambale Leo ni Vanny Boy Yupo na mtoto wa Tandale Mwaga maji tucheze kama kambale Leo ni Vanny Boy Yupo na mtoto wa Tandale Sa chezesha kileso, Kileso Ah kileso kileso, Kileso Saa zungusha kileso, Kileso Eeh kileso kileso, Kileso Aga ka unakibana kwa kwapa, Kileso Kilete kwa hapa, Kileso Kama unarusha natapaa, Kileso Ehee, swadakta, Kileso