Mocco Baby baby ayi ayi ayi Michepuko ya zamani bye, bye, bye Mi naji dai dai dai Oh we subiri shera dai dai dai Zungusha pepeta ungo Nipe mambo ya gizani ya mafumbo Geuka onyesha umbo Jiachie wala usibane tumbo You're forever be my always aya yeh Cake of my birthday aya ye Director of my always Baby you turn Thursday to be holiday We ndio kiboko wa chunusi na harara, we zaidi yao (hao) Sura yako hata ukitoka kulala bado zaidi yao Basi kata taratibu (kiuno) Kiuno cha paka chombo (kiuno) Panga boyfriend mbovu (kiuno) We pinda mpaka mugongo (kiuno) Nipe uno la uzazi (kiuno) Mpaka chini kwa udongo (kiuno) Basi ka hii, katika (kiuno) Kama unatokea Kongo (kiuno) Kanitesa Suzy eh, kanitesa Monica Kanitesa Shuvele, kanitesa Wini eh Ila si wewe, wewe, wewe mama mama Mhh shivonipele Ya wawili mapenzi oh, watatu siwezi oh Usisikie maneno maneno maporojo watakuumiza roho roho oh Ya wawili mapenzi oh, watatu siwezi oh Usisikie maneno maneno maporojo watakuumiza roho roho oh Maliza eh maliza eh, mama nipe yote Taamu nipe yote yote Maliza eh maliza eh maliza eh ah You're forever be my always aya yeh Cake of my birthday aya ye Director of my always, baby you turn Thursday to be holiday We ndio kiboko wa chunusi na harara, we zaidi yao (hao) Sura yako hata ukitoka kulala bado zaidi yao Basi kata taratibu (kiuno) Kiuno cha paka chombo (kiuno) Panga boyfriend mbovu (kiuno) We pinda mpaka mugongo (kiuno) Nipe uno la uzazi (kiuno) Mpaka chini kwa udongo (kiuno) Basi ka hii, katika (kiuno) Kama unatokea Kongo (kiuno) Tupate moja moto moja baridi (Cheza cheza bila kutoka jasho) Nyama choma supu ya digi digi (Cheza cheza bila kutoka jasho) Kibosi bosi kipedeshee (Cheza cheza bila kutoka jasho) Tumia pesa ikuzoee (Cheza cheza bila kutoka jasho)