Oh garuko garuko garuke Oh garuke mwanawange Garuko garuko garuke Oh garuke mwanawange Ayee mbali ndi niyo wanyu Mbali ndi niyo wanyu Mbali ndi niyo wanyu Muda marefu umepita mwanangu Tangu umefunga safari, iyeye Urudi nyumbani uje uone hali yangu Nakosa chumvi sukari, iyeye Kila siku nakonda kufikiria sembe Wapi ntapata mboga familia iende Baba yako mgonjwa ashiki ata jembe Toka '91 sina kipya kitenge Iih, noija noija maki mbwenu Iih, noija noija maki mbwenu Kafukuzwa shuleni, mdogo wako Jane Na mengine sisemi maiyoo Sikai sebuleni nikiona wageni Nakimbia madeni maiyoo Iih, noija noija maki baba Iih, noija noija maki mbwenu Nitarudi mama, mama (Taliwo akagenda akabura) Nitarudi mama, mama (Taliwo akagenda akabura) Nitarudi mama, mama (Okebuke owanyu omuka) Nitarudi mama, mama (Okebuke owanyu omuka) Nitarudi mama, mama Heshima yako mama, ugua pole na baba Mambo yatakuwa sawa, sipendi ukilalama Kazi zimenijaa, na-hustle kupata chapaa Nitakuja na pesa nyumbani, sahau kuhusu dagaa Si unapendaga pete na chain nitaleta za gold Mwambie mdogo wangu Jane ntampeleka boarding Nitakujengea nyumba bondeni uache kulipa kodi Ntakulipia yote madeni usigongewe hodi Mwambie baba asijali Atapona tutaenda hospitali Asilie atakuwa shwari Siku yake ya birthday nitampa gari Machozi yanilenga Siku zinakwenda mama Sala zenu wapendwa Ndo zitanijenga sana Sijawatenga Sikupigi kalenda mama Mungu akipenda Yote nitatenda mama Naomba unisubiri nyumbani Nitarudi mama, mama (Taliwo akagenda akabura) Nitarudi mama, mama (Nitarudi ningojee) Nitarudi mama, mama (Okebuke owanyu omuka) Nitarudi mama, mama Nitarudi mama, mama