Huyo miss Buza Mama miss Buza Jamani miss Buza Nampenda miss Buza Rangi yake ya vidole kama ndizi za kuchoma Harufu yake ya wigi unapata Corona Hee kikipigwa kigodoro lazima utamuona Shughuli hajaalikwa, kijola ka shashola Ila chumbani si gogo mwali Mbuzi kagoma kifo cha mende chali Uvunguni sakafu juu ya dari Ua mtoto anaupaka asali mama Akiona simu (anapita nayo) Eh, akiona walleti (anapita nayo) Eh, akiona dundo kali (anapita nayo) Yaani akiona begi kali (anapita nayo) Ana msitu kwapani dala kifuani Kwenye dala dala anapita dirishani Ghetto anazima taa, vipele mapajani Ana dera jipya, chupi la zamani Ah yo yo yo Huyo miss Buza Mama miss Buza Jamani miss Buza Nampenda miss Buza Haya kelele ya kwanza kwa missi yake (weh) Kelele ya pili kwa missi yake (weh, weh) Kelele ya tatu kwa missi yake (weh, weh, weh weh) Mtoto anachu chu, anachuchumia Ana chu chu, mpaka nguo anavua Mtoto anachu chu, anachuchumia Ana chu chu, mpaka nguo anavua Akivua shati muache, muache Ameamua muache, muache Akivua shati muache, muache Ameamua muache, muache Katikati nataka aloshindikana Katikati nataka chura nyelana Mwanangu katikati nataka aloshindikana Katikati nataka chura nyelana Basi twende tunaenda kushoto Wanangu kushoto Aahuni kushoto, masisela Turudi kulia, wanangu kulia Masela kulia, wanangu Basi twende tunaenda kushoto Eh kushoto Wanangu kushoto Yii kushoto Basi twende tunaenda kulia Wanangu kulia, ati, ati Basi twende teremka We mwanagu teremka Teremka shika mabega teremka Bwana teremka, masisela teremka Teremka shika kiuno teremka We mwanangu teremka, mama teremka Teremka shika magoti teremka Basi twende Nionyeshe unavyochumaga mchicha tembele Nionyeshe unavyochumaga mchicha Mama nioneshe unavyochumaga mchicha tembele Nionyeshe unavyochumaga mchicha Oya twende kama unalo tingisha, we mama tingisha Tuone tingisha, we dada tingisha Kama unalo tingisha, we mama tingisha Tuone tingisha, we dada tingisha Eyoo Kenny Basi twende shosho, we nioneshe sho Style gani unacheza kidalipo We mwanangu shosho, we nioneshe sho Style gani unacheza kidalipo Basi tuende kibaikoko we mtoto Miguu juu ning'inia kama popo Kibaikoko we mtoto Miguu juu ning'inia kama popo Unakaa chini unakwenda unakwenda unakwenda Shika magoti unashuka unashuka unashuka Na ka chini unakwendaa unakwendaa unakwendaa Shika magoti unashuka unashuka unashuka Basi twende timua vumbi timua, shemeji atafua Timua vumbi timua, shemeji atafua Bwana timua vumbi, timua shemeji atafua Timua tena timua, shemeji atafua Wee Juma Lokole number 1 Kida mchoksi number 1 Hahaha Idriss wa kitaa number 1 Wee Aristote Wapi Uncle Shamte ongeza ah mama Dangote Mwambie akatafte na vyumba havipangishwi Eeh kidogo dogo msalimie Kenny, eeh Tony Vumwe, Ricardo Momo K Imani, Soni Weka Eeh mwanangu Ommy Crazy Ommy Kichaa kini kazaa HK HK wapi Wanjala? Lengo Dangote nipelee Ali mwa Kimwana Papichulo wee Eeh baba Benami, baba Benami ai Ah wote, ah wote RJ the DJ, all day Wananiitaga Dulla Makabila yaani King of Singeli We Esma Platnumz anakusalimia mkubwa Fella Waambie wasitume wavulana kwenye shughli za wanaume Mmh Dulla jamani tucharaze kitu gani? Haijaisha tu, kama singeli ndo kurushana hivi Mi siwezi jamani inatosha (Lazer on the Mix)