Mapenzi chenga Yakikupiga unasurrender Na wengi wakipendwa Wanasahau kuna kutendwa Mapenzi chenga Yakikupiga unasurrender Na wengi wakipendwa Wanasahau kuna kutendwa Wapi mkandarasi wa moyo Wa ukuta wa mapenzi unadondoka Kinacho ponza wengi ni moyo Wakikalia kuti kavu wanadondoka Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Naogopa naogopa, naogopa naogopa Naogopa, kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee Naogopa naogopa, naogopa naogopa Naogopa, tena tochi ya mapenzi isinimulike Nimeyaona bayana Ndo maana sitaki kukumbuka ya jana Alivyonidanganya Moyo wangu ukapiga danadana Nimeyaona bayana ndo maana sitaki kukumbuka ya jana alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana Kwani nini za mapendo Ili yakaniteka mapenzi Tena nilimweka moyoni Ila akaniona mshenzi Unaweza sema pesa ndiyo breki Ila mapenzi hayasomeki Umemteka kwa mali na cheki Kumbe vyombo anakula muuza magazeti Unayemwita bebi Anaweza bebwa kama beki Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji Unayemwita bebi Anaweza akabebwa kama beki Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji Unajisifu umempata Kumbe alo wacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Naogopa naogopa, naogopa naogopa Naogopa, kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee Naogopa naogopa, naogopa naogopa Naogopa, tena tochi ya mapenzi isinimulike