Pochi nenee, pochi nenee
Wakizingua si tunakata umeme
Nasema pochi nenee, pochi nenee
Skuiz mjini msingi pesa sio masebene

Pochi nenee baada ya kuhustle
Maana haituni bila ya kumwaga jasho
Pochi nenee mlinde dem wako
Vocha ninayomuhonga sawa na bei ya sim yako

I got love for my people, sina kwere
I believe in God baraka tele
Mchawi karoge usifike mbele
Mi napanda ndege we kapande tembere

Mi huwa nashine mpka nachana kichina
Puerto Rico mamacita kariashina
Alhabib rakatel mzee wa vina
Dubai mafuta mi namiliki visima

Pochi nenee, pochi nenee
Wakizingua si tunakata umeme
Nasema pochi nenee, pochi nenee
Skuiz mjini msingi pesa sio masebene

Pochi nene inanukia mapene
Dada sikunyimi ka ukitaka useme
Pochi nene tunda lazima nimenye
Ama nikifulia basi na wewe niteme

Tushakesha ka bundi bundi
Tushapigwa na vumbi vumbi
Mara kondakata mara machinga fundi fundi
Tunazisaka kumbi kumbi
Tushone mitungi tungi
Leo hanifa kesho Anita kundi kundi

Usiseme we una mikosi
Omba Mungu mambo yawe kitu na boxi
Na mwanume sugu hachoki
Toka kijakazi mpka nakua bosi
Walishanitesa mashosti
Hata busu nililitafuta kwa tochi
Kumbe dawa ya mapenzi ni noti
Sasa nachagua mimi kwenye bedi au kochi

Mi huwa nashine hadi nachana kichina
Puerto Rico mamacita kariashina
Alhabib rakatel mzee wa vina
Dubai mafuta mi namiliki visima

Pochi nenee, pochi nenee
Wakizingua si tunakata umeme
Nasema pochi nenee, pochi nenee
Skuiz mjini msingi pesa sio masebene

Peace
Zombiee, V Vanny Boy
I told you boy this's gonna be a movie
Wasafi Records for life baby
Mbeya city on top
And we won't stop, period
Vanny Boy

Vanny Boy game
Vanny Boy game

(S2Kizzy, baby)
    Página 1 / 1

    Letras y título
    Acordes y artista

    restablecer los ajustes
    OK