Ayolizer Nimeanza safari ya penzi na wewe Usiikatishe eeh Mungu mwema baba Mbali atufikishe eeh Mi binadamu nakosea Nikiteleza usiuzunike eeh Milele mwanadada Nikifa unizike Kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu Natamka niwewee Taswira pekee kwenye ndoto zangu mama Mfariji pekee nikimwaga chozi langu Mama ni wewee Imenishinda siri kifuani mwangu aah, aah Nikupeleke nyumbani kwetu sheri eeh Ukawajue na ndugu zangu mama aah Unipeleke nyumbani kwenu Bibi wewee Nikawaone shemeji zangu mamaa aah Siri ya nini (siri) Nini maana yake ooh (siri) Siri ya nini (siri) Nini hasara zake (siri) Siri ooh siri Mapenzi ya siri ii Ooh Mama loloo Ooh Mama loloo Ooh Mama loloo Eeh mama Nipe utamu kabla ujatamka usingizi Si come mpaka tukiamka ni series Kakonko twende kamara kibirizi Mapaja yake utamu michirizi Michepuko imenuna imezila siri siri Na wee ni kachumbali mayonnaise pili pili Pili pili manga tunakilikili wanga Kilimanjaro nyumbani kwetu kisimili mwanga Si mama Nikk simama Wima Siri ya mapenzi nikufikishe kwa kina Umebeba beba, mkungu wa muleba Uchungu kama kwao wakajifungue leba Umebeba beba, mkungu wa muleba Uchungu kama kwao wakajifungue leba Ooh Mama loloo Mama lolo kwako sijiwezi Ooh Mama loloo Sitoficha mdudu mapenzi Ooh Mama loloo Mama lolo kwako sijiwezi Ooh Mama loloo Mama loloo ooh, ooh Kwenye kamoyo mi sina (siri) Je nikutaje ka jina (siri) Wajue wenye fitina (siri) Jembe nipo nalima (siri) Basi nawe usifiche maa (siri) Sema watupishe naa (siri) Vichefuchefu watapishe naa Penzi letu lisiishe m mi na wewee (Wasafi) Owe owe oweoo owe owe owaa Owe owe oweoo owe owe owaa Siri yanini Nini maana yake Siri ya niini Nini hasara zake Wasafi Records