Kimbunga hicho Kimbunga hicho Kimbunga hicho Yaani tunazoa zoa (It's S2kizzy beiby) Mwaga jasho miguu iwake moto Timua vumbi, timua Kisigino kibebwe na ugoko Timua vumbi, timua Ruka ruka tusiamshe popo Timua vumbi, timua Vua shati ukisikia joto Timua vumbi, timua Saa tunakisanua, vumbi Tunawachafua, vumbi Tunawapa mafua, vumbi Vumbi, timua vumbi Tunakata funua, vumbi Wakazingua, vumbi Tunawapa mafua, vumbi Vumbi, timua vumbi Wanatukimbiza Wasafi eeh Wapo makundi makundi Lakini hawatupati eeh Tunawaachia vumbi Timua vumbi, timua Timua vumbi, timua Timua vumbi, timua Timua vumbi, timua Timua vumbi, timua Timua vumbi, timua Timua vumbi, timua Timua vumbi, timua Ooh kama mashine ya koboa mpunga Timua vumbi, timua Aah Tsunami changanya na kimbunga Timua vumbi, timua Kama gwaride ka la jeshi, timua Kwa mchanga simiti, timua Chana jamvi kapeti, timua Timua vumbi, timua Timua mchanga Kama unalicheza vanga Mzuka ukipanda Vua shati kama mwanga Timua mchanga Kama unalicheza vanga Mzuka ukipanda Vua shati kama mwanga Asa kachili saga, saga saga Kamatia zaga, zaga zaga Nisugulie gaga, gaga gaga Kinaga ubaga, twende Timua Timua vumbi, timua Timua vumbi, timua Timua vumbi, timua Timua vumbi, timua Timua vumbi, timua Timua vumbi, timua Timua vumbi, timua Timua vumbi, timua Mwendo kama farasi Ooh, ooh tunawatimua timua Kasi kama risasi Ooh, ooh tunawatimua timua Tuko nduki kibati Ooh, ooh tunawatimua timua Hawatukamati Ooh, ooh tunawatimua timua Shika, hasa kitimue, timu timu Yaani chimba, timu timu Fukua fukua, timu timu Chimba chimba, timu timu Eeeh vidole chepeo, timu timu Kiuno mpini, timu timu Fanya kama goleo, timu timu Ifukue kwa chini, timu timu