Haiboo Twende, twende, twende Twende hapo twende Twende Aiyayaya yii Twende (woza) twende (woza) Twende (woza) twende (woza) Twende (woza) Eeeh aiyayayayaya Kisigino (kisigino) Kisigino (kisigino) Gusa kisigino Twende shuka shuka, shukaa Kisigino (kisigino) Kisigino (kisigino) Gusa kisigino Twende shuka shuka, shukaa Be bega (haiboo), be bega (haiboo) Be, twende moja mbili tatu Be bega, Be bega Be, twende moja mbili tatu Nimelewa (nimelewa) Nimekunywa (nimekunywa) Nikitongoza dem wa mtu Sio mimi ni pombe Nimelewa (nimelewa) Nimekunywa (nimekunywa) Nikivua nguo sio mimi Jamani ni pombe Ning'ining'ia (chini) Ning'ining'ia (chini) Ning'ining'ia Kama ukidondoka mi simo Ning'ining'ia (chini) Ning'ining'ia (chini) Ning'ining'ia Kama ukidondoka mi simo Mai maiko, Mai maiko Mai maiko, wee wee wee Mai maiko, Mai maiko (jambo) Mai maiko, wee wee wee Dada una shepu matata Tikisa tuone hio Weze weze matata Chezesha tuone hio Dada una shepu matata Tikisa tuone hio Zigo zigo matata Chezesha tuone hio Chop chop chop Chop chop chop chop Chop chop chop Chop chop chop chop Nimelewa (nimelewa) Nimekunywa (nimekunywa) Nikikucheat usinune Sio mimi ni pombe Nimelewa (nimelewa) Nimekunywa (nimekunywa) Nikidondoka niokote Sio mimi ni pombe Jeru (left) haiboo Jeru (right) haiboo Jeru back, Je Jerusalema Jeru (left) jeru (right) Jeru back, Je Jerusalema Jeru (left) haiboo Jeru (right) haiboo Jeru back, Je Jerusalema Jeru (left) jeru (right) Jeru back, Je Jerusalema (Kwa Mix Lizer)