Roof top audio station Juu top Kama mimi kioko niko juu, top Kama nikiwa na wana niko juu, top Kama uko na nyimbo, fanya song drop Kama ikiwa na wana Yeah, na mzuka na mzuka na mzuka Ni mpaka umepitiliza (oyee) Tusha kinukisha nanangu Nina plan za kuendea pizza (nafurahi) Unaeza ukajiona msela Mavi tukakukimbiza Kimistari ya miogo ya koko wanangu Sio ya burger wala pizza Yeah, me najiona niko top, top, top Me napenda kuenda top, top, top Me naweza fanya chap, chap, chap Me naweza fanya clap, clap, clap Hee Me naweza kuenda chap chap chap Me nacheka na hizi rap tam tam Me nawaona tamko ni zam zam zam Kuwa bado zikiwa si ni zam zam Yule boy Yeah its your daddy boo Wewe ndio unafanya nibaki macho juu Hey, ni midadi tu Wanasema you already know what to do Huu moto gusa uone Siingizi foko mpaka nichome Nataka beef yangu tuone I got a game got the hommies Roof top, roof top baby We on top, on top baby We woun't stop, we woun't stop beiby We hold 'em up, we hold 'em up baby Mistari inaflow, nivilete Matokeo ni something amazing Na kaba sijaja nominated Na koma nikate washenzi Am all about the money Fuck nigga fulani anawaza mapenzi Na kabla sijaacha kitenzi Am rollin' na couple of friends, check Rooms ziko full, everything you Beiby wamesha chakaa Usione tuko kubwa We knew this niggas wamejaa tamaa Kila wanapotuona tunagoma Na pochi limejaa chapaa Who the fuck you are? Na kama wewe ni whack me nakukataa Gang, tuko rooftop, gang gang Na tutabaki kuwa rooftop, gang gang Na tutabaki kuwa rooftop, gang gang Na tutabaki kuwa rooftop, gang gang Na tutabaki kuwa juu, yeah Tutabaki kuwa juu, yeah Tutabaki kuwa juu, yeah Tutabaki kuwa juu, yeah Na tutabaki Magomeni eey Tandale na mivinje me, eey Niko chini, eey Ilala na mabondeni, eey Kocha na run Kocha na run, eey Sicheki cheki me kiboko Am bresh bei si yangu vocal, eey GG he is my coco Tukizipata si mapoko eey Natamba, natamba, natamba nagombana nao Navimba, navimba, navimba mimi kubwa lao Eey, am a female gang Unajiita madapa utamwagika damu Si ndio rooftop gang Ngoma kali kwa top ten Huwezi kunigusa then Nakamua mpaka hall of fame Kwenye bajaji, streeti Klabu, standi, konte tuko on top Poli boyz moko cookie zone If you know how we roll Obssessed, smoking a blunt Kabla pomekaje nitakupeach Na nimesizi and ain't gon lie Can't even tell nuthing than beat No, no, no rap fooling me chill Niko na washikaji We doing our thing Niko na G Niko na Pimp T Niko na Joe Makini Washikaji wanakuja Mistari inavuja Nikama inakuja But I don't know Madem zao, they be like wow We tell'em we doing tonight I don't know Koma na maisha ni high low We speedin my nigga we riding low And am upon it and my mind at all Fuck all these niggas they already know Mkombozi mwenyezi, yule anaye nipa pumzi Tangu kuzaliwa kisha akanipa ujuzi Leo nachana kama ref na mapana Mpaka wenye majiba wanabaki kuchoma men Hawaamini kile ambacho wanachokiona Wanaoniombea maovu, na still nayoyoma Mbona siwapi pepe huku game inanihitaji Hawajui mitaa ilisha nivika taji Najua majibu napigia tu mstari Sinikajiuliza kitu mpaka najaza jedwali Funza kwa semi, sijui tamadhali King wa underground wapashe waweze habari Sindio Mr. Officer sijaja kuwashika Natokea Sinza, still nawakilisha Rooftop na mitaa yote uya kati Niko na madogo leo usinishike shati Gang, tuko rooftop, gang gang Na tutabaki kuwa rooftop, gang gang Na tutabaki kuwa rooftop, gang gang Na tutabaki kuwa rooftop, gang gang Na tutabaki kuwa juu, yeah Tutabaki kuwa juu, yeah Tutabaki kuwa juu, yeah Tutabaki kuwa juu, yeah Na tutabaki kuwa Roof top Gang way, we heading to the to beiby