Sitaki mazoea na mataka taka Ndo maana mi huachana nao matha-- Naona mwendo wenu umevuka mipaka Wanaojikuta madume nawabaka baka (aah) Mnapenda majungu na sio ya upishi Mking'ang'ana mimi nitatingisha dishi Bwanako nam mpaka haamshi So ata ukimpa gari hakufikishi Changa naimada gyal, me nuh fear dem Kichaa cha maana naeza endesha mpaka marehem Mnaojifanya mko mbele niko nyuma yenu Nitawafanya vibaya mbele ya wake zenu (aah) Nawakalisha na nimevaa sidiria Sina nguvu za soda wala za bia Za kiume (sitaki kasongo) Nguvu za kiume (walemewa pembe hiyo) Za kiume (mvuvi la Bongo) Nguvu za kiume (aii yey yeey yeey) Za kiume (sitaki kasongo) Nguvu za kiume (walemewa pembe hiyo) Za kiume (mvuvi la Bongo) Nguvu za kiume (aii yey yeey yeey) Huh! Tatizo nataka chambe kabla wajane Mi nina haiba ya paka siwezi lea panya Huh! Naeza katukana Mguu kwenye brake, sitaki ongea sana Heard you said you made me What you talking about? Make another Rosa Ree What you talking about? (Huh, what you talking about?) Make another Rosa Ree What you talking about? Siendi gym na hunigusi Na supu ya pweza hainiboosti Nikikugusa hauinuki Na huwa siogopi matusi Nawakalisha na nimevaa sidiria Sina nguvu za soda wala za bia Za kiume (sitaki kasongo) Nguvu za kiume (walemewa pembe hiyo) Za kiume (mvuvi la Bongo) Nguvu za kiume (aii yey yeey yeey) Za kiume (sitaki kasongo) Nguvu za kiume (walemewa pembe hiyo) Za kiume (mvuvi la Bongo) Nguvu za kiume (aii yey yeey yeey) Nikifika nawatii (sumba hiyo) Nawatiririsha nyuma mbele (sumba hiyo) Kama kawa nawafi (sumba hiyo) Nawafinya wapige kelele (sumba hiyo) Nikifika nawatii (sumba hiyo) Nawatiririsha nyuma mbele (sumba hiyo) Kama kawa nawafi (sumba hiyo) Nawafinya wapige kelele (sumba hiyo) Nawakalisha na nimevaa sidiria (sumba hiyo) Sina nguvu za soda wala za bia Za kiume (sitaki kasongo) Nguvu za kiume (walemewa pembe hiyo) Za kiume (mvuvi la Bongo) Nguvu za kiume (aii yey yeey yeey) Za kiume (sitaki kasongo) Nguvu za kiume (walemewa pembe hiyo) Za kiume (mvuvi la Bongo) Nguvu za kiume (aii yey yeey yeey)