Its Bob Manecky Heeh yeaah Nikisema nitakufa kisa mapenzi Moyoni nitamkosea Wanayadhani nina ufa hakuna mwenzangu Nyumba inamdondokea Mi najua Sina dhamani kwako utanikumbuka Nishatenda wema Mi nakwenda zangu utanikumbuka Poleza na moyo we, mwaya we Najua amekuumiza Ila yupo mungu, baba eh Najua atalipiza Pole sana moyo, mwaya Najua amekuumiza Ila yupo mungu, baba Najua atalipiza Alele, nishalia Alele, nikaumia Alele, sina dhamani kwako Alele, mtima ulilia Alele, maana wengine wapo Alele, nishalia Alele, nikaumia Alele, sina dhamani kwako Alele, mtima ulilia Alele, maana wengine wapo Kwa mitaa jamaa anaandamana Kweli mapenzi yanaliliwaa Niliachaga drama na ujana Eey yeaaah Yalianzaga enzi Ikanenaga na nafsi acha nivumilie Jamani mapenzi Yamekuwa hadithi acha nisimulie Poleza na moyo we, mwaya we Najua amekuumiza Ila yupo mungu, baba eh Najua atalipiza Pole sana moyo, mwaya Najua amekuumiza Ila yupo mungu, baba Najua atalipiza Alele, nishalia Alele, nikaumia Alele, sina dhamani kwako Alele, mtima ulilia Alele, maana wengine wapo Alele, nishalia Alele, nikaumia Alele, sina dhamani kwako Alele, mtima ulilia Alele, maana wengine wapo