Unasema unanipenda unangapi Ndo vile ulinambia unaishi wapi Pesa huma, una magari mangapi We yako mapozi tu Sa nikupeleke wapi Basi imba nikusikie Pengine utanivutia aaaah Cheza kidogo ohoo ohoo Imba nisikie Pengine utanivutia aah Imba kidogo hee iyee Acha niwaze (wazee) Acha nikufikirie (wazee) Acha niwaze (wazee) Ohoo ohoo ooh Acha niwaze (wazee) Acha nikufikirie (wazee) Acha niwaze (wazee) Lipi niamue Kitambo sina mkwanja unajua Yaani kama mgambo gwanda langu sijivua! Mapepe nishatupa kuleee kuleeee Tangu enzi za shule kuee Vicheche nishatupa kule kuleeeee Nimekuchagua wewe uwe wangu nisikize Wa milele tafadhari usiniumize! Acha niwaze (wazee) Acha nikufikirie (wazee) Acha niwaze (wazee) Ohoo ohoo ooh Acha niwaze (wazee) Acha nikufikirie (wazee) Acha niwaze (wazee) Lipi niamue eeeh hee Yaani hata japo nikikujua jina kwangu sawa Ila usizidishe ukaja nitoa dinner nitapagawa Me mwenzako uvumilivu sina we hayaa Nitakuganda kama ruba niwe wako Chawa Kweli mapenzi ninayo Pesa na mali sinaa aha Ila ni maisha yapitayo Kesho ntakua na jina jivungie Urembo umepitiliza mungu kakubariki aiseee eehh iiih Sijaona bee kama wewe haki yanani aiseee eeeh iyeee Acha niwaze (wazee) Acha nikufikirie (wazee) Acha niwaze (wazee) Ohoo ohoo ooh Acha niwaze (wazee) Acha nikufikirie (wazee) Acha niwaze (wazee) Lipi niamue eeehhh hee Hee eeyee Basi imba nikusikie pengine Utanivutia aahh aa aah Cheza kidogo ooh ohoo oo Imba nisikie pengine utanivutia Imba kidogo eeeh iyeah