Alikua yuanipenda hapo zamani alipokua Hana Na kile tulichopata ingawa haba tulikigawanya Akapandishwa cheo maendeleo akaanza kunikaana Akapata ndongo ndongo na mimi akanipa kisogo Ikawa kwangu makelele kwake starehe Kwangu matusi kwake mazuri Nashaanga leo yuaniomba msamaha Yuanimbembeleza yuanitendekeza Yuaninyenyekea mimi Nami sitodhubutu kumruhusu Anihusu tena Ankula huu, ankula huu Ankula huu, ankula huu Na hasara juu, uuh, uuh Na hasara juu, uuh, uuh Nilipoyangundua nikamuonya awachane nae Akaniona punguani akanivalia mi miwani Lakini mambo kaenda mrama (ah, ah) Bibi akaanza kutanga (ah, ah) Leo yuashika tamaa (ah, ah) Huku akiniandama (ah, ah) Ikawa kwake makelele kwangu starehe Kwake matusi kwangu mazuri Nashaanga leo yuaomba msamaha Yuanimbembeleza yuanitendekeza Yuaninyenyekea mimi Nami sitodhubutu kumruhusu Anihusu tena Ankula huu, ankula huu Ankula huu, ankula huu Na hasara juu, uuh, uuh Na hasara juu, uuh, uuh Wanawake wezangu, halo haloo (eeh) Ukampikia, ukamwantalia Ukamtumekia, ukambwangia Hati leo oh pole Sifanyi tena, nisamehe Turudiane, tuwaze tena Ukula we na sara juu Wanasema kosa ni la kwanza Mara ya pili ni kwa madharau Ikiwa ntakurudia bwana Nakusihi usinbwage bwaya bwaya Ankula huu, ankula huu Ankula huu, ankula huu Na hasara juu, uuh, uuh Na hasara juu, uuh, uuh