Haiyaa eh tuko na dillie Na Sanaipei kwa mara ya pili Oh dondo oh koko Aha dondo ooh koko Dondoka dondo kokota koko Heh twende sasa ooh Sijakukataza kaka Kula kwa macho ukitaka Akilini mafikira jaza kini weh Usidanganye na wala si mali ya mtu Chunga usije kafanya kutu Mda mrefu kisu huwa gutu kini weh Wajuaje Piga domo mitaani Ati wanijua tangu zamani Mimi na weh wapi kwa wapi Weh sini Sinijaji eeh, sinijaji ooh Sinijaji eeh, sinijaji ooh Hunijui weh, wanijuao Waujua weh, wangu msimamo heh Simama imara, ujiringe Simama imara, ujilinde Simama imara, watu wote Eh, wakuone Papapapara Papapapaara Papappara Hey mbiu ya mgambo heya Ikilia kuna jambo heya Matamshini mwako Hamna moshi wala moto Una papara ka tarumbeta Kisha kinaga bila kusita Sambaza balaa kila kukicha Huna haya wewe Piga domo mitaani Ati wanijua tangu zamani Mimi na weh wapi kwa wapi Weh sini sini Sinijaji eeh, sinijaji ooh Sinijaji eeh, sinijaji ooh Hunijui weh, wanijuao Waujua weh, wangu msimamo heh Simama imara, ujiringe Simama imara, ujilinde Simama imara, watu wote Eh, wakuone Papapapara Papapapaara Papappara Una choko choko chokoza Nazo longo longo longo zako Si ho sio sio hoja watakija dondoa Una choko choko chokoza Nazo longo longo longo zako Si ho sio sio hoja watakija dondoa Pinga domo mitaani Ati wanijua tangu zamani Mimi na weh wapi kwa wapi Weh sini sini Sinijaji eeh, sinijaji ooh weh sini Sinijaji eeh, sinijaji ooh Hunijui weh, wanijuao Waujua weh, wangu msimamo heh Simama imara, ujiringe Simama imara, ujilinde Simama imara, watu wote Eh, wakuone Papapapara Papapapaara Papappara Ujiringe eh Ujiringe eeh watu wote eeh Watu wote eeh Watru wote wakuone Twende wewe Tupe dondo Ama twende tukoko Chaguo