Sauti Sol (Sauti Sol) Vee Money on the track Ooh Leo kama kamasutra mama (kamasutra) Kama, kama, kamasutra mama ye, ye, yeyee (kamasutra) Kama, kama, kamasutra baba (kamasutra) Kama, kama, kamasutra baba ye, ye, yeye (kamasutra) N'takupa kazi upande mlima baby, yeah Na siri zangu zote n'tatoboa, yeah So many things I want do to you, my baby yeah Na siri zako mi sitatoboa Huh Selektah, I got something to make you better Light the fire mi napepeta Light the fire mi napepeta Eeh, Selektah (selektah) I got something to make you better (better) Light the fire mi napepeta (pepeta) Light the fire mi napepeta (pepeta) Leo kama kamasutra mama (kamasutra) Kama, kama, kamasutra baby ye, ye, yeyee (kamasutra) Kama, kama, kamasutra baba, eeh (kamasutra) Kama, kama, kamasutra baba ye, ye, yeye (kamasutra) Chali wa Nairobi manzi wa Kipare Leo ni mahaba nakupatia Ushawasha nari hamjam kare Leo michuano kiroja mila Na si marimari (aah), hii vibe kali (aah) Cash Madame nakubalika Mboga juu ya meza teleza ki murenda Washa udi na kadhalika (Uh) Vanessa, I got something to make you wetter Baby, let me kiss you better Light the fire mi napepeta Selektah, I got something to make you rise up Lemme back it up on you Light the fire mi napepeta Leo kama kamasutra, kamasutra Kamasutra, kamasutra Kama, kama, kamasutra, kamasutra Kamasutra, kamasutra Mapenzi ya kihuni yanimaliza Kiuno kama nyingu, baby punguza Nishakubali wanafunzi, wewe profesa wa kamasutra Mapenzi ya kihuni nimepachika (pachika) Kiuno kama Nicky baby tulia (tulia) Kubali wanafunzi mimi ni profesa (profesa) wa kamasutra Mizani kama mimi naondoka nawe Napiga mahesabu naondoka nawe Na mimi nimekubali kuondoka na wewe (wewe) (kamasutra) Leo kama kamasutra, kamasutra Kamasutra, kamasutra Kama, kama, kamasutra, kamasutra Kamasutra, kamasutra