Hivi bado nakumbuka Nikiwa kijana Ile bangi nilivuta Pombe nilipewa kwa sana Na wasichana walinipenda Wengine walinikataa Na hapa nilipoamka Sikulala jana Napiga densi usiku kucha Vijana kwa wasichana Na masiri zilipasuka Wengi walizaana kwa sana Na vijana wengi walikopa deni Wapeleke slayqueen maskani Wakatoanishwa bila kuonjeshwa Wasaniii tuliponea Naomba, naomba nizidi kijana Naomba, naomba nizidi kijana Naomba, naomba nizidi kijana Won't you set me free nizidi kijana Kaja Facebook kaja Twitter Kaja pia na Instagram Wengi walibwaga mioyo Na picha za kupende sana Na walitesa tesa Wazungu wanasemanga Ati business and pleasure Inasaidinga wazae kupunguza pressure Vijana under pressure Wasanii tuliponea Naomba, nizidi kijana Naomba, nizidi kijana Naomba, nizidi kijana Won't you set me free nizidi kijana