Nimekuchagua wewe, nikupende Mama sitaki mwingine Aushi usiniache, usinitende Mama usipende mwingine Moyo wangu ni mwepesi Umenikalia chapati Nafanya vituko kama chizi Kukupenda sitasizi Moyo wangu ni mwepesi Umenikalia chapati Nafanya vituko kama chizi Kukupenda sitasizi Sura yako mzuri mama (Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) Na tabasamu lako maua (Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) Na sura yako mzuri mama (Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) Na tabasamu lako maua wewe eeh Itabidii nikulinde, nikutunze Mama usikote lolote Pete nayo nikuvishe, nikuoe Mama usiende popote Juu moyo wangu ushakubali Umenikalia chapati Nitakulinda kama polisi, eh Itabidi nikumarry Moyo wangu ushakubali Umenikalia chapati Nitakulinda kama polisi, eh Itabidi nikumarry Sura yako mzuri mama (Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) Na tabasamu lako maua, yeah, oh (Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) Na figure yako kama ya chupa, aah (Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) Baby, yeah laia Na sura yako mzuri mama, aah Piga densi kidogo Piga de, piga densi kidogo Densi kidogo Piga de, piga densi kidogo Sura yako mzuri mama, aah (Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) Yeah, yeah Tabasamu lako maua, aah (Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) Oh, yeah, yeah, yeah Sura yako mzuri mama, oh ooh (Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) You're so so beautiful (Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) You're so so, yeah, yeah Piga densi kidogo Baby, densi kidogo Mama, densi kidogo (Na figure yako kama ya chupa, aah) Piga densi kidogo Baby, densi kidogo Mamad densi kidogo (Na tabasamu lako maua, aah) Mama, densi kidogo Niwe niwe Niwe niwe