Nimepewa moyo wa kupatana na wewe Nimepewa huruma najikuta na share-na wengi Ulikosea nikakusamehe ukarudia vilevile Woh oh, oh, ukarudia vilevile Ukanipa jina mama huruma Baada ya kusonga mbele narudi nyuma Nah, wala sikushangai Nimejifunza na we ndo mfano hai Kilichoniumiza ni promise za uongo Nah, kumbe ulinilaghai Na ukanifanya niamini na kufurahi Kumbe ni maneno tu, promise za uongo Kosa gani nililofanya mpaka ugomvi unalazimisha Kila siku usiku na mchana uishi kusema Nieleze unataka niweje? (Mwanamke gani?) Au nini kwako nifanye niwe na thamani? Nieleze nini nifanye Nah, wala sikushangai Nimejifunza na we ndo mfano hai Kilichoniumiza ni promise za uongo Nah, kumbe ulinilaghai Na ukanifanya niamini na kufurahi Kumbe ni maneno tu, promise za uongo Mwenzako nimepewa moyo wa kuridhika na we Kwahiyo naomba nielewe nitaenda utakavyo wewe Ukinipiga (it's okay) Ukinitukana (vilevile) Nakusamehe, nitakusamehe, nishakusamehe Nitavumilia naamini yatapita Nitakuombea Mola uweze jirekebisha Nah, wala sikushangai Nimejifunza na we ndo mfano hai Kilichoniumiza ni promise za uongo Nah, kumbe ulinilaghai Na ukanifanya niamini na kufurahi Kumbe ni maneno tu, promise za uongo Nah, wala sikushangai Nimejifunza na we ndo mfano hai Kilichoniumiza ni promise za uongo Na nimekosa amani Amani imetoweka nyumbani Kilichoniumiza ni, promise za uongo Promise Promise za uongo Promise Promise za uongo Promise, promise Za uongo Promise Ahadi Promise, promise Ahadi za uongo Ahadi, ahadi Promise Promise, promise Promise Promise, promise Promise Promise, promise