Hata wewe, hata wewe Hata we shoga yangu, hata wewe Hata wewe, hata wewe Hata we shoga yangu, hata wewe Inasikitisha, inasikitisha Inasikitisha, sikitisha sana Inasikitisha, inasikitisha Inasikitisha, sikitisha sana Mi naulizwa, eti mi na we vipi Mbona hatuelewani Wakati urafiki wetu Kila mtu anaufahamu Ila lazima leo niseme Kuwa wewe ni mzushi, tena muongo Na kumbe una lako jambo Uliponishauri niachane nae Hata wewe, hata wewe Hata we shoga yangu, hata wewe Hata wewe, hata wewe Hata we shoga yangu, hata wewe Inasikitisha, inasikitisha Inasikitisha, sikitisha sana Inasikitisha, inasikitisha Inasikitisha, sikitisha sana Kila nilipogombana nae Kumbe wewe ulifurahia Na nilipoachana nae Kumbe wewe ulimfariji Nilikupenda kama dada yangu Lakini kumbe we unanitega Ila jua leo kwangu rafiki Na kesho ni kwako wewe Hata wewe, hata wewe Hata we shoga yangu, hata wewe Hata wewe, hata wewe Hata we shoga yangu, hata wewe Inasikitisha, inasikitisha Inasikitisha, sikitisha sana Inasikitisha, inasikitisha Inasikitisha, sikitisha sana Sikutegemea ungenigeuka Tena bila aibu umenikosea Inaniuma sana ulivyonitenda Tuone tamaa yako itaishia wapi Sikutegemea ungenigeuka Tena bila aibu umenikosea Inaniuma sana ulivyonitenda Tuone tamaa yako itaishia wapi Hata wewe, hata wewe Hata we shoga yangu, hata wewe Hata wewe, hata wewe (rafiki yangu) Hata we shoga yangu, hata wewe Inasikitisha (kwanini?), inasikitisha (kwanini?) Inasikitisha, sikitisha sana (Inasikitisha) inasikitisha, inasikitisha (Inasikitisha) inasikitisha, sikitisha sana