Eeh siri ya penzi uvumilivu Ukiwa na hali we utaaribu Haki yake mtendee Akikosa msamehe Yakipita yamepita mgange yajayo Siri ya penzi eeh kuheshimiana Achana na jeuri, achana na kibuli Siri zake mlindie Mali zake mtunzie Hadharani chumbani niamini mwenzio Ngoja nikwambie eeh nikwambie Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie Ngoja nikwambie eeh nikwambie Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie Ukishikwa masikio na wasiokutakia Mema wee utapotea aah, aah Maneno ya nje sumu sio kila jirani mwema Kuwa makini aah Aah, aah Siri ya penzi ooh kutifichana Aah, aah Siri ya penzi Kuaminiana aah Ngoja nikwambie eeh nikwambie Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie Ngoja nikwambie eeh nikwambie Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie Nikwambie Nikwambie Nikwa nikwambie Nikwambie Nikwambie Nikwa nikwambie Ukiwa kiziwi atakuabudu Ukimuhusudu atakuhusudu Tenda utendewe Tenda utendewe Tenda utendewe Ooh Ukiwa kiziwi atakuabudu Ukimuhusudu atakuhusudu Tenda utendewe Tenda utendewe Tenda utendewe Siri ya peenzi Ngoja nikwambie eeh nikwambie Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie Ngoja nikwambie eeh nikwambie Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie Siri ya penzi ooh kutifichana aah Siri ya penzi Kuaminiana aah Ngoja nikwambie eeh nikwambie Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie Ngoja nikwambie eeh nikwambie Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie