Wewe ni ya Mbonde, mimi ni ya Sumi
Matatizo yetu hayafanani
Wewe ni ya Mbonde, mimi ni ya Sumi
Matatizo yetu hayafanani

Kama una shida unamwambia nani?
Watu wanacheza mambo hadharani
Kama una shida unamwambia nani?
Hata mi za kwangu nimeacha nyumbani

Hatufanani, hatulingani
Hatufanani, hatulingani
Jiachie full mwanawani
Mshike mwenzio mkono kiunoni
Wote jiachie full mwanawani
Mshike mwenzio mkono kiunoni
Tufanane

Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala
Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala
Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala

Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango
(Njoo tuzisahau shida)
Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango
(Njoo tuzisahau shida)

Kama kucheza tunacheza wote
(Njoo tuzisahau shida)
Kama kuimba tunaimba wote
(Njoo tuzisahau shida)
Na kama kucheza tunacheza wote
(Njoo tuzisahau shida)
Hata kuimba tunaimba wote
(Njoo tuzisahau shida)

Sina gari na nyumba ila wema nnao
Sina gari na nyumba ila wema nnao
Unataka kushindana na mimi (huwezi)
Maisha yangu uswahilini (siishi mbezi)
Unataka kushindana na mimi (huwezi)
Maisha yangu uswahilini (siishi mbezi)

Hii ni serikali ya kiswazi bibi
Tunakaba jiko na tunakaba choo
Hakuliki wala hakuendeki
Wao wana dollar mmh
Si tuna visenti
Inakuhusu?
Usije ukang'oka meno sababu ya uchu

Kwanini usipende
Kwanini usiende
Kwanini usicheze
Kwanini usipende
Kwanini usiende
Kwanini usicheze

Wengine chakala chakala
Mashetani yamepanda (yamepanda)
Ameshika usinga, kanasa kwenye kibanda (kibanda)
Chakala chakala, mashetani yamepanda (yamepanda)
Ameshika usinga, kanasa kwenye kibanda (kibanda)
Kibanda, kibandaa

Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango
(Njoo tuzisahau shida)
Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango
(Njoo tuzisahau shida)

Kama kucheza tunacheza wote
(Njoo tuzisahau shida)
Kama kuimba tunaimba wote
(Njoo tuzisahau shida)
Kama kucheza tunacheza wote
(Njoo tuzisahau shida)
Hata kuimba tunaimba wote
(Njoo tuzisahau shida)

Sugua gaga, sugua gaga
Sugua gaga, sugua gaga
Sugua gaga, sugua gaga
Sugua gaga, sugua gaga
Sugua gaga, sugua gaga
Sugua gaga, sugua gaga

Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala
Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala
Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala

Shirko
Bora kuwa na pengo
Kuliko kuwa na jino bovu
Alama ya mguuni sio kovu
Ni hayo tu
    Página 1 / 1

    Letras y título
    Acordes y artista

    restablecer los ajustes
    OK