Ni zamu yangu Mimi kuwa nawe Ni zamu yangu Wewe kuwa nami Ni zamu yangu Oh, ooh, oh, hoo Maishani najua umepitia wengi Wanene, wembamba, weupe hata weusi Lakini bado tu haujampata Malikia wako Wengi wao wamekuumiza sana moyo Nasikia mpaka umeamua Kuachana na jambo hili la mapenzi Uishi peke yako Ila nakwambia ukinipa nafasi Nitakukamilisha, ridhisha, furahisha Ni zamu yangu Mimi kuwa nawe Ni zamu yangu Wewe kuwa nami Ni zamu yangu Oh, ooh, oh, hoo Usisite, usiwe na wasi wasi Ukweli ni kwamba mimi si kama wao Tabia zangu sio kama zao Na nia yangu tofauti na yao Si vizuri uishi mwenyewe Wakati mimi nipo kwa ajili ya wewe Njoo kwangu mimi basi upate mapenzi Ya kweli Hivyo nakwambia ukinipa nafasi, nafasi Sitoku badilisha, atarisha, sikitisha Ni zamu yangu Mimi kuwa nawe Ni zamu yangu Wewe kuwa nami Ni zamu yangu Oh ooh oh hoo Nafurahi kuona unajidai, you're so beautiful girl Usinikatae ili baadae wasikushangae you know You look so cute, uko sexy, you're so amazing girl I see Fid Q next to you, so it's crazy yo Nadata-ta-ta na viwalo unavyonyuka Kama Sea Sea we Mivalo na Nguza ah Nikikuona natoka na goosebumps Walionichuna kama buzi, nawaona ka bubblegums Mimi na wewe kama Sharoz na Jaffarhymes We ni mafia kama Carlos, ulivyoniteka sijifahamu Waache wale kona, nashukuru pia uliwaona Walivyotusimangia dona, na nguli wa kuchoma Walinitumia tu kama njia, ya kuwasafishia nyota Wakan'kimbia, wakarudia wakalia mpaka wakachoka Kidume, nasimama kiume kama Juma Demu akinipenda nampenda, akinizingua namuacha nyuma Ni zamu yangu Mimi kuwa nawe Ni zamu yangu Wewe kuwa nami Ni zamu yangu Oh, ooh, oh, hoo Ni mimi na we Mimi na wee