Uh first time ulinichekingi kwa mbulu Najua ulishtuka hadi ukapiga nduru Uko surprised ati Ssaru ndo huyu Wakati ulinicheka juu nikona katululu Unajifanya umekuja kwangu kuzuru Nasi tunakuja buda joh we ni kunguru Unahate unajifanya we ni guru Na mi nikikucheki nakuona ka kalulu Huu ka kalulu mi na roll na uhuru Uko kwa ngori bado mi na kunusuru Mashallah! Naogopa kukufuru Huyu ni Mungu bado ananiweka tu kwa nuru Aah mtu ako huru saa nipate buru Wataka kucheka juu uko class ya gumbaru Aah mtu ako huru saa nipate buru Wataka kucheka juu uko class ya gumbaru Ka we ni rapper joh buda kaa rada Juu ka niko around mi ndo huwanga komanda Niko hapa nimekuja ku murder Na venye mi natema nakuonanga mshamba Rende ni less haipiti mtu saba Ka ni kuadisia adisia to our mother Hao wengine ni watoto wachanga wanalalanga sana mpaka wanavunja kitanda Kaa niko lit nakujanga kama mwanga Hii ni kali utachase tu na waba Nipate base nikuseti tu mawada Mi ni mless na napendanga aay, aay tew Bom hii ni team ya Wakanda Hatubagui joh kuna mpaka wakamba Hakuna mtu anamind bro we tamba Kaa ni luku daily si hudunga pamba Hizo mechi wananiita dea moda Nilikumbuka sitaki kurudi moshatha Umelegeza na nakuja kuwakaza Saa ukini diss story zishafika tanga Wewe mnafik na unajifanya rafik Saa yenye nakuhitaji unadai umekwama kwa traffic Wanafaa kutense juu nimegundua tactics Sitaki hizo mapenzi zenu fake nikiwa love six Skiza Baby boss nikupee penzi la uduu Mi nishalegeza njoo ni bebe juu juu We ndo huwa unafanya roho ndo inadunda dudu! Aah Tuma fire sina ganji nadi purse Wako mie mi na bend down di [?] gyal Adi teacher kwenye film mi na Rap mi na say thats the rule non spot Saa nimefika nimekuja kuwa replace Adabu zao joh ni kama wali misplace Zangu ninazo sasa cheki niko Am the baddest kwa game nipee respect Am the baddest kwa game nipee respect