Nimerudi tena usiseme nimekuja mapema Ju venye nahema si mnajua kitu nimepewa Naskia mnasema ati SSaru anapenda kupewa Ka we ni wa Juja ukipewa lazima utapenya Alafu nacheki supporti inakuja kwa wingi Thank you bana Madem kibao mamorio wamembao Nataka hii kitu sana Na venye nacheki tukiendelea hivi Nitasema yes bana, yes bana Morio leta biringanya bana Nilikuwa nwashow hizi ni mistari Me sipendi hii kitu sana Nikacheki nitaboo, nita dissapoint Mamorio wanapenda vagina Ako wapi Zzero utufanyie collabo Moja enye itawachanganya Akam na mandom tuchafue flow Tukiwa mamoshi bana Moto sana Utadhani ndani kuna bunsen burner Nawanga mchana Usiku nakesha nikichoma mashada Ogopa bana Ju mi ukinidiss tunakosana Mi ni mtoto sana Utaenda Kamiti ukishikwa na bang'a Me najidai Stakabathi nimebeba utadhani ni ndae Na niko fly Me sina deni lakini bado unanidai mmh Unanidai unataka ngwai Utaka zenye pedi ameniwai Venye uko high na uko na ndae Kazi nikuuliza mbona ni why Nilisahau Hamisi Ile design ulisahau kamisi Kwanza jo nimekumisi Kwanza ile wakati unashika matiti We ndo unapeananga kissing Mi huwa napendaga miti Siku hizi ulichorea kiki Uliacha kuseti kamenje kwa kiti Kaza kitu ni fitting Chapa ni kama utalipwa majiti mmh Father mi ndio kipii Sa finya finya ni ka parachichi aah Ka parachichi iko na kijiti Venye inahang jo haijifichi Na mi ni vajo staki ubishi Ka ulinikula ulikulanga missing Leo nimedunga G String Nimejilete nataka unidishi Ah nyama kwa nyama spiki Hii ndio ile nyama unakulanga mbichi Clever ni kama hailiki Ka ni kisima jo si tuko fishing Hii nyama kama hailiki Mwenye anakula ni kama ni richkid Ssaru mbogi ni Kanu Mi ndio nakujanga kuleta hamu Daily nakujaga na mautamu Ni za ki Coasto kutoka Lamu Verse ni ngori shinda mbogi genje Bars nachana utadhani ni veve Makali inashinda ya wembe Ju mi nalima hata kuliko jembe Mi nawashika na sinanga wende Ju mi ni OG nyi ni maembe ah Chura bishana na mende Hapo unahang kama makende Legendary mi ndio legend Ka hakakupei wacha kaende Ssaru anakuwanga na utamu ya tende Mi staki pizza nijenge tu sembe aah Siku hizi nimemea pembe Nilizaliwa ka sinaga nyege Katambe wacha kaende Kalambe ka peremende Ka ni marapper mi ndio mkali hapa Mi na-represent Khali ka ako hapa Ju nachana faster ka Semenye Castor Eeey eey eey Harambe mbogi ni genje Ka unanipenda nikembe Nikaze nikameze tembe Kichwa ni kama malenge Mi nakutolea form Uko na mzinga leta tu ndom Mi nakupeleka bro huwezani Ju rende ni rong