Yes, you have to flip it 2003 Twende biashara boss Mi na biashara, close Sintara Flow so tight ask Chris Kantadda Young Impala, ass like Prada Na kama huwezi shikanisha basi wee ni fala Yeah basi we ni fala Mi naenda pale kila kitu dola dola President moi kibaki wanna holla Na onesha kindooole, pole Tumbo tumbo kubwa kama Rick Ross Pesa zetu munafanyia what? Kazi kwa vijana pesa kwa ma boss, wacha kuwa floss Eti wasanii wataget Ganji 2030 Nitakuwa 54, made it under 30 eehh Mbere ta mohuko wa shati ya Khaki Jet karatasi Kari kii? Yah, Kari kii? Mi ni STL the bigger the better I emcee on the mic, come test her Hii biashara ni kaa m-pesa We send, nta receive, na ka hu send, sikuskii Biashara ni biashara Onginyona hau we nie ndigehara Onginyona hau we nie ndigehara Onginyona hau we nie ndigehara Biashara ni biashara Onginyona hau we nie ndigehara Khaligraph Biashara niko busy na mziki ndio huwa Ni grizzy Na flow ingine maji maji utadhani Gidi Gidi In other words niko Tei na Jaba Ju niliskia pia kukula mei ni swagger Am from the business land, Nairobi to be specific Crooked popos na changaa illicit River road baibe, that’s where u gonna find me I be getting ka money fast Conning people hadharani Nikona mpesa coperative nikona equity Pesa Ni mingi nimeivisha so me Nina publicity Paparazzi piga ma Picha then tuzione BBC Ntashika am mita, biz imejipa ju nime sign na DTP Biashara baibe what it do miss Stella Am the man with the power so I’ll make you feel like Cinderella And am making it shower so hope you got your umbrella Yo it’s biashara baibe stella go ahead and tell em Biashara ni biashara Onginyona hau we nie ndigehara Onginyona hau we nie ndigehara Onginyona hau we nie ndigehara Biashara ni biashara Onginyona hau we nie ndigehara Kristoff Nikiwa na STL siunajua graph huwa ni khali Ju miupenda kuchew gum unaeza nipata hurli Asalaam aleikum, waleikum salam Miupenda Mpesa, Pesa pap na Mshwari Hustler ambaye upeel doe kama ndizi Mihu peek n peel, uyu boy sinimjuicy, hisi Flow chizi ka matiba, na ziko on point ka, AbdubaDida! Biashara, leta pesa, Weka doe, kwenye mkeka Minaleta, hekaheka, Flow nutty ka proffesor Kristoff, ndo Ana tesa, kila time, weka pressure Pima na tapemeasure, kula Ethiopian, hapo Habesha, (aah) Anapenda Rose na yeh si Amber Nikama vindeoo, unaeza thani ni Mkamba Biashara ndio mi ulamba Pesa imenifanya mweupe skuizi ka pamba (kristoff!) Biashara ni biashara Onginyona hau we nie ndigehara Onginyona hau we nie ndigehara Onginyona hau we nie ndigehara Biashara ni biashara Onginyona hau we nie ndigehara