Pwaa Hee Pwaa The baddesta baddest Kumbe wanatamani nijifiche Nikose pesa nikose na mishe mishe Alieniumba ata asinikumbuke Sina makosa nao wananiombea nife Hawapendagi kuona ata nahema Wakinikosea Eti nibakiege kimya Nashindwa kuwa na wasi wanaroho za kinyama Sina damu ya usepetu ningeutenda wema Niliamini wengi ni marafiki Kumbe marafiki wachache wengi wanafki Kisa wamekosa mkate chai awataki Mafanikio tu kidogo wana hamaki Kwa mungu na haki zogo staki Wana maneno maneno ya mwendo kasi Siwapi nafasi ata wakidiss ETI Tammy najiskia nipunguzeni sauti Roho mbaya zao ooh Roh mbaya zao ooh, yeah Mtoto wa kiume unalegeza pua Ona mtoto wa kike nnavyochana nnavyodunda Na Watoto wa kiume mnavyobana pua Ona mapigo ya kichina na who know know know Skia Ona awa kibao nawaficha kwangu Roho yangu sio yao nipe tano zangu Epuke na ufalao mi ni kiza wangu Na ridhiki niliyo nayo ni ya kwangu yangu Na kaza kweli wao wanapiga domo Promo zinafail sijashikwa mkono Wanga wanakejeli jeuri na maneno Nimejifunza kupitia naishi kwa mifano Hawapendi niwe hai wanalet down Never stop a life help me baba God ooh Wana pray mi die wao wafurahi Sijawakosea hawanipendi ata kidogo Kwa mungu na haki zogo staki Wana maneno maneno ya mwendo kasi Siwapi nafasi ata wakidiss ETI Tammy najiskia nipunguzeni sauti Mtoto wa kiume unalegeza pua Ona mtoto wa kike nnavyochana nnavyodunda Na Watoto wa kiume mnavyobana pua Ona mapigo ya kichina na who know know know Tarumbeta tarumbeta tarumbeta tarumbeta Wanapepeta napepeta napepeta napepeta wee Roho mbaya zao ooh, yeah Roh mbaya zao ooh, yeah Mtoto wa kiume unalegeza pua Ona mtoto wa kike nnavyochana nnavyodunda Na Watoto wa kiume mnavyobana pua Ona mapigo ya kichina na who know know know Pwaa Pwaa Pwaa Pwaa