Zigila parapampapa Donna na Chibude (Ayolizer!) Ooh, yeah, hahaha It's Platnumz Eeh ati unapenda kooni Nikikupa mpaka morning Nikipekenya pekenya Nisiwahi ichelewe Nikikuchum mdomoni Touch touch kiunoni Niwe natekenya tekenya Nakufanya ulewe Boo you're my sweet chocolate monsta (aah) So real I contamplate on that And baby better ride for me And show me that you're mine mine, oh, oh I'ma go downtime for ya Call you king, put a crown on ya And baby take your time with me Let's flow like river Nile Hapa, asa show me ile kitu amekupa mama Hebu chutama, kama inazama Nikupige chenga kwa danadana Tuwafunge kelele (ay, ay, ay) Jioni usiku mchana, jua likizama Tuanza kandana Nikuonyeshe kile amenipa mama Tuwafunge kelele Maana wanaona Wanaona gere Wanaona gere (wanaona) Wanaona gere Wanaona ge, ge, ge, ge Wanaona gere Wanaona gere (wanaona) Wanaona gere Wanaona ge, ge, ge, ge Don't you ever leave me solo Or dissapoint me with these basic hoes You make my mind go lokoloko Utawapa misemo wa nokonoko And you better tell them that you are mine Better be my ride or die Kabla ya kuwika jogoo Asubuhi niamshe na kimoko Eeeh! Mama kasema mwali mwana Nipepata nitulie Simba Ooh nitulie Simba Ooh nitulie Simba Zile chenga vidanga dana Vicheche nichunie Simba Ooh nichunie Simba Ooh nichunie Simba Asa beiby ebu show me ile kitu amekupa mama Hebu chutama kama inazama Nikupige chenga kwa danadana Tuwafunge kelele (ay, ay, ay) Jioni usiku mchana, jua likizama Tuanza kandana Nikuonyeshe kile amenipa mama Tuwafunge kelele Maana wanaona Wanaona gere Wanaona gere (wanaona) Wanaona gere Wanaona ge, ge, ge, ge Wanaona gere (whenever we're together) Wanaona gere (wanaona) Wanaona gere Wanaona ge, ge, ge, ge Asa beiby nikomeshe Kati katika (kata) Kati, kati, katika (kata) Donna katika (kata) Ooh beiby katika (kata) When you hold on to me (kata) Go down follow my knees (kata) Moving side to side beiby (kata) Ooh kati (kata) (Wasafi!)