Usingizi taabu kuupata Ungenijia ndotoni Moyo kwa ulimbo ulininasa Wewe ndo kiti mie jini Mi kanisa we sadaka ooh Naomba usinipite Nikikupa neno na waraka Ili usiende Everything we chukua Kwako sina shaka ah aah Mmh, mmh You are my one and ony I don't wanna let you go beiby Nikikuudhi sorry And I wanna let you know beiby Am sorry mama eeh Am sorry mama eeh Am sorry mama, sorry mama, sorry mama Nasema nashukuru sana sana Ulinifunza mimi kupenda Siri kubwa kupendwa Nijipende mimi kwanza Nashukuru sana sana Ulinifunza mimi kupenda Siri kubwa kupendwa Nijipende mimi kwanza ooh Hey, yeah, yeah yeah ah Bila kupapasa macho Haki ya Mungu nakupenda Sikatai, nimekuudhi sana Na katika moyo wako Kuna mengi nimekutenda Hukufurahi, sikuona mama aah binadamu Tunasahau tukiwa nacho Tukiwa hatunaa Tunakumbuka Kama kila siku kurumbana aah Muda wote kugombana aah Mimi sikujali, yeah Yeah, yeah, yeah Mbele yangu ulisimama aah Kuongea vya maana aah Mimi sikukubali You are my one and only I don't wanna let you go beiby Nikikuudhi sorry And I wanna let you know beiby Am sorry mama eeh Am sorry mama eeh Am sorry mama Mama mamaa, yeah, yeah yeah Nasema nashukuru sana sana Ulinifunza mimi kupenda Siri kubwa kupendwa Nijipende mimi kwanza Nashukuru sana sana Ulinifunza mimi kupenda Siri kubwa kupendwa Nijipende mimi kwanza ooh Hey And I do this for love And I do this for love And I do this for love yeah, yeah yeah Fanya angalau Nikuone tena Nikuone tena, ayaya Moko genius T style