Wapeni njia warembo, wapeni njia Waje mbele tuwaone, wapeni njia Wapeni njia warembo, wapeni njia Waje mbele tuwaone, wapeni njia Wapeni njia warembo, wapeni njia Waje mbele tuwaone, wapeni njia Wapeni njia warembo, wapeni njia Waje mbele tuwaone, wapeni njia Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo Kwa furaha, wawili wameoana hao Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo Kwa furaha, wawili wameoana hao Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo Kwa furaha, wawili wameoana hao (Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo Kwa furaha, wawili wameoana hao) Maji ya uvuguvugu (ayaa) Mtengee akaoge (ayaa) Mume hataki vurugu (ayaa) Anataka utulivu (ayaa) Mpake pode mumeo, usije mpaka jivu Raha ya penzi linoge, wala usiwe na wivu Kamtunze mume wako, ooh Wala usiwe na wivu Wapeni njia warembo, wapeni njia Waje mbele tuwaone, wapeni njia Wapeni njia warembo, wapeni njia Waje mbele tuwaone, wapeni njia Wapeni njia warembo, wapeni njia Waje mbele tuwaone, wapeni njia Wapeni njia warembo, wapeni njia Waje mbele tuwaone, wapeni njia Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo Kwa furaha, wawili wameoana hao Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo Kwa furaha, wawili wameoana hao Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo Kwa furaha, wawili wameoana hao Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo Kwa furaha, wawili wameoana hao Ashife upende tunda (ayaa) Na wazee kuwapenda (ayaa) Na pendo litapoanza (ayaa) Na waridi litatanda (ayaa) Ujue vya kumlinda, asiwe kutwa aranda Ashife usije shindwa, presha itakupanda Kuna watu wamuinda, aaaah Mara watamnyakua Wapeni njia warembo, wapeni njia Waje mbele tuwaone, wapeni njia Wapeni njia warembo, wapeni njia Waje mbele tuwaone, wapeni njia Wapeni njia warembo, wapeni njia Waje mbele tuwaone, wapeni njia Wapeni njia warembo, wapeni njia Waje mbele tuwaone, wapeni njia Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo Kwa furaha, wawili wameoana hao Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo Kwa furaha, wawili wameoana hao Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo Kwa furaha, wawili wameoana hao Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo Kwa furaha, wawili wameoana hao Kuna maneno laini (ayaa) Yatoa nyoka pangoni (ayaa) Kwa mapenzi ni fasheni (ayaa) Mume atabaki ndani (ayaa) Ukijifanya muhuni, ataja toroka ndani Kuna wanamtamani ni watoto wa mjini Utabaki laitaani, eeeeh Sisi tushamnyakuwa Wapeni njia warembo, wapeni njia Waje mbele tuwaone, wapeni njia Wapeni njia warembo, wapeni njia Waje mbele tuwaone, wapeni njia Wapeni njia warembo, wapeni njia Waje mbele tuwaone, wapeni njia Wapeni njia warembo, wapeni njia Waje mbele tuwaone, wapeni njia Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo Kwa furaha, wawili wameoana hao Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo Kwa furaha, wawili wameoana hao Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo Kwa furaha, wawili wameoana hao Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo Kwa furaha, wawili wameoana hao